usser
JF-Expert Member
- Sep 25, 2015
- 13,956
- 14,032
Yaaah namalizia kuwach ball
Hapa twende ukamsalimie
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yaaah namalizia kuwach ball
Cjabadili kiongoz NikoBrother nikajua ulibadili ID
Hata luku ikikata huhangaiki kumpigia,unajiongeza tu mana anafanya vitu vikubwa vya maana
Hapana huwez kugeuza ulicho kiandika kiwe shida ya mimi msomaji, nimekuelewa kabsaalol....yaan leo najua nan ypo fast kuelewa !poor u
Mrs mabaka mabaka (jokes)Hata luku ikikata huhangaiki kumpigia,unajiongeza tu mana anafanya vitu vikubwa vya maana
HahahaCjabadili kiongoz Niko
Area sana tu ww ndo umepotea
Sana cjui ndo kutekwa
Hayo ya khanga moja jikoni hapana hiyo ondoaLa mwisho mwanaume halisia ni yule anaejua jiografia ya mwanamke... yaan yule anaejua nn anatakiwa kufanya kwenye mwili wa mwanamke(hapa naomba nitie msisitizo kwel kweli)
- Anayejielewa kuwa ni mwanaume sio wa kuonesha misuli kujionesha yeye mwanaume
- Awe yule anayefanya kazi za kiume kwelikweli hata kama ni Boss
- Raha sana kumuona mwanaume ameinama mvunguni au anapiga jeki kutoa tyre(mfano tu )
- Raha sana kuona mwanaume anahudumia mifugo ile ameinama na kaboxer kake kanaonekana ka kiume(awwww) ...Yaan ht mzuka wa kuingia jikoni na kanga moko kumpikia unakuja automatic
- Kuna raha ya ajabu kumuona mwanaume anakata fence ya kuzunguka nyumba yake kale kajasho anakosweat huwa kichocheo ka kupewa game la kimafia kale kajasho ni BOOSTER KUBWA
............sio mwanaume hata kukata muhindi wa kuchoma unashindwa,kubeba kilo 20 za mahndi wewe liulimi lote njee,
POPOTE ULIPO MWANAUME WA AINA HII SHOUT IT OUT TO YOU
UNSPECIFIED
@akiliZaDesperado
Haa haa haa aiseee uzurHahaha
Nilitekwa na watu wasio julikana
Nikajikuta nika Iringa
Sema nsga rud
Hahahaaa. Eti gym inatosha lol.Gym inatosha saana kututoa jasho...jirani.
Hivi mbona mnataka kututesa tuu?? Hamtoshek na jinsi mnavyotutia stress tuu
Hiyo siyo mwanamume, labda Robot lakoLa mwisho mwanaume halisia ni yule anaejua jiografia ya mwanamke... yaan yule anaejua nn anatakiwa kufanya kwenye mwili wa mwanamke(hapa naomba nitie msisitizo kwel kweli)
- Anayejielewa kuwa ni mwanaume sio wa kuonesha misuli kujionesha yeye mwanaume
- Awe yule anayefanya kazi za kiume kwelikweli hata kama ni Boss
- Raha sana kumuona mwanaume ameinama mvunguni au anapiga jeki kutoa tyre(mfano tu )
- Raha sana kuona mwanaume anahudumia mifugo ile ameinama na kaboxer kake kanaonekana ka kiume(awwww) ...Yaan ht mzuka wa kuingia jikoni na kanga moko kumpikia unakuja automatic
- Kuna raha ya ajabu kumuona mwanaume anakata fence ya kuzunguka nyumba yake kale kajasho anakosweat huwa kichocheo ka kupewa game la kimafia kale kajasho ni BOOSTER KUBWA
............sio mwanaume hata kukata muhindi wa kuchoma unashindwa,kubeba kilo 20 za mahndi wewe liulimi lote njee,
POPOTE ULIPO MWANAUME WA AINA HII SHOUT IT OUT TO YOU
UNSPECIFIED
@akiliZaDesperado
Miss u too..VIP wewe una hizo sifa?..Nmekumis
Tunashukuru sana kwakweliHizi sifa zipo zaidi kwa hawa waume zetu wa mikoani
Tunawapenda sana
Sasa si ndo yule mwanajeshi[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]La mwisho mwanaume halisia ni yule anaejua jiografia ya mwanamke... yaan yule anaejua nn anatakiwa kufanya kwenye mwili wa mwanamke(hapa naomba nitie msisitizo kwel kweli)
- Anayejielewa kuwa ni mwanaume sio wa kuonesha misuli kujionesha yeye mwanaume
- Awe yule anayefanya kazi za kiume kwelikweli hata kama ni Boss
- Raha sana kumuona mwanaume ameinama mvunguni au anapiga jeki kutoa tyre(mfano tu )
- Raha sana kuona mwanaume anahudumia mifugo ile ameinama na kaboxer kake kanaonekana ka kiume(awwww) ...Yaan ht mzuka wa kuingia jikoni na kanga moko kumpikia unakuja automatic
- Kuna raha ya ajabu kumuona mwanaume anakata fence ya kuzunguka nyumba yake kale kajasho anakosweat huwa kichocheo ka kupewa game la kimafia kale kajasho ni BOOSTER KUBWA
............sio mwanaume hata kukata muhindi wa kuchoma unashindwa,kubeba kilo 20 za mahndi wewe liulimi lote njee,
POPOTE ULIPO MWANAUME WA AINA HII SHOUT IT OUT TO YOU
UNSPECIFIED
@akiliZaDesperado
Na mimi naku refer kwa bujibuji.bas msome emmyta,sky,rebeca!