Sister Abigail
JF-Expert Member
- Sep 2, 2020
- 4,817
- 14,925
- Thread starter
- #201
Wanakimbia Nini?Ujinga tuu, most of them ni uwezo wa kuposh good girls size yao.
Gharama?
Wanakimbia Nini?Ujinga tuu, most of them ni uwezo wa kuposh good girls size yao.
Mzee watoto wa siku hizi hawashawishiwi ila wanashawishi wenyewe kumbuka maada ilikuwa binti kawekwa ndani na bodaboda ukifuatilia huyo binti lazima uchoke!Mbele ya mungu mtu yeyote anaye fanya mambo kinyume na matakwa yake huyo ni mfuasi wa shetani bila kujali amefanya nini.
Samia muuwaji na wewe mzinzi unaye jisifu kulala na vitoto vidogo hamna tofauti nyote ni wachafu mbele ya Mungu.
Mtu mzima kumrubuni binti mdogo wa miaka 14 ili ulale naye ili utimize tamaa zako za kimwili za dakika 10 hauwezi kujihesabu kama mtu mwenye utu ndani Yako ww ni zaidi ya shetani.
Kama una tabia hizo acha ipo siku utalipa gharama kubwa sana.
Ukiona mtoto hasikilizi wazazi ujue ndivyo walivyomlea. Watoto wa kulelea viunoni na mgongoni lazima wawasumbue wazazi kwakuwa hawana akili wala maarifaNi sahihi mkuu, inabidi ifanyike namna kukiokoa hiki kizazi. Mtu hasikilizi wazazi acha dunia ikamfundishe afabu.
Stop excuses mkuuShida mnfosi mambo, ukute huyo binti hana hata hizo akili za shule.
Shule sio ya kila mtu!!!!
1) Mnato, chuchu saa sita, mashine low mileage.Licha ya Sheria lakini bado tu hamkomi..
Wengine wengi wamefungwa.Ndio kubet ama vipi?
Kuna binti alikuwa anatafutwa kwao week nzima nyumbani haonekani Wala shuleni haonekani.
Wenzie wako kwenye maandallizi ya kufanya mtihani wao wa form four week ijayo.wakajua kapotea kumbe kafungiwa kinyumba Kwa boda hapohapo mtaani kamgeuza mkewe.
Kwa Hali kama hii atarajie Nini?
Hata kama binti kakukubali unashindwa kutumia akili?
Akifungwa atakuwa kaonewa?
Kama nilichoandika ni excuse wacha waendelee kupigwa PIPE.Gademit!!!Stop excuses mkuu
Akili za shule ni zipi?
Kwahiyo ana akili za kuwekwa ndani na kuwa mke wa mtu?
Umeona ukubwa wa mwanamke ni via vya uzuazi kupevuka tu?Mwanamke ambaye kishabaleh ana uwezo wa kuzaa.
Hizo mambo za kukariri kwamba mwanamke under 18 ni mdogo ni uwongo mkubwa
Kwahiyo unataka kusema huyo mtoto hajui athari za dyudyu la yuyu.Anakula chips za watu akijua ananunuliwa bure.Umeona ukubwa wa mwanamke ni via vya uzuazi kupevuka tu?
Vipi akili na uwezo wa kufanya maamuzi na kudeal na changamoto za Maisha zinazomzunguka?
Sawa mmekaririr huko sababu hamna maono na malengo juu ya uzao wenu wa kike ndio maana akivunja ungo tu mnaozehsa
.wengine wapo tofauti.
Mpaka mzazi anamuhangaikia mwanae aende secondary Hadi university kwani haikuwa ndani ya uwezo wake kumuozesha kipindi yupo mdogo?
Watu wametofautiana misingi na Maisha pia
Kama unaona kwenu ni sahihi sawa
Ukifika Kwa wengine wakikwambia huyo ni mdogo heshimu Hilo.
Nakubali malezi ni muhimu.Na kuwakuza katika misingi ya maadili pia.Kama nilichoandika ni excuse wacha waendelee kupigwa PIPE.Gademit!!!
Shida unataka kusolve a problem kwa kutanguliza feelings.That does nothing than prolonging a problem.
📌📌Zaeni kwa mpango na mlee watoto.Lazisivyo vitapigwa pipe vitoto vyenu mpaka vibaki na mashimo KILA MAHALI.
Honestly,we ulianza kudate ukiwa na umri gani?Ndio udate mwanafunzi?
Mtu mzima wa miaka 25 Kwenda mbele unashawishiwaje na mtoto wa miaka 14au 15?Mzee watoto wa siku hizi hawashawishiwi ila wanashawishi wenyewe kumbuka maada ilikuwa binti kawekwa ndani na bodaboda ukifuatilia huyo binti lazima uchoke!
Ni kweli kabisa malezi ya wazazi wa sasa yamekuwa changamoto sana yaani siku hizi watoto ndo wako juu ya wazazi wao.Kwahiyo unataka kusema huyo mtoto hajui athari za dyudyu la yuyu.Anakula chips za watu akijua ananunuliwa bure.
Ebu acheni kutetea uzwazwa.Huyo mtoto ukute anajua mpaka staili ambazo watu wazima wa miaka arobaini hawajui.Hao majr msiwachukulie kama midoli wanaakili na ufahamu wakutosha na wa mambo mengi ila uzembe na kutojali.
Huyo binti ana simu na ukute wazazi wake wanajua.
Akijibu nitagHonestly,we ulianza kudate ukiwa na umri gani?
Naona mchungaji unafoka kwelikweli!Mtu mzima wa miaka 25 Kwenda mbele unashawishiwaje na mtoto wa miaka 14au 15?
Hizo ni tamaa za kijinga na ni upumbavu mkubwa sana Kwa mwanaume kwenda jera miaka 30 Kwa sababu ya uchi ambao ungeweza kupata Kwa sh 5000.
Hao bodaboda kuna uzi nishatoa wito wawapeleke veta.Nakubali malezi ni muhimu.Na kuwakuza katika misingi ya maadili pia.
Sisitiza upande wa pili pia
Bodaboda watolewe barbarani walewe ujuzi wakafanye kazi za uzalishaji mali.Ni kweli kabisa malezi ya wazazi wa sasa yamekuwa changamoto sana yaani siku hizi watoto ndo wako juu ya wazazi wao.
Lakini pia na mwanaume kwenda jera Kwa sababu ya uchi ni uzwazwa na ukosefu mkubwa wa akili.
Tatizo ni kwamba inaingia🤣Kuna watu hawana utu, hata vitoto vya shule ya msingi wanajisevia......vibaya sana vibaya.
Njoo hapa tuchukue notes BICHWA KOMWE -Binti na yeye afungwe kwani hakujua kama anafanya kosa???
Sirikali si iamue tu wasome na kuolewa mambo yaishe🤷🏿♂️
Zamani haya majambo yaliwezekanaje ila kwasasa yashindikane????
Asilimia kubwa tabia zao zinafanana.sielewiHao bodaboda kuna uzi nishatoa wito wawapeleke veta.
Shida nchi yetu mawazo kama hay ynayogusa wapiga kura huwa yanaonekana kama uchochezi😄
Bodaboda wengi ukiongea nao,hawa jamaa wamekata tamaa.They have nothing to loose.Mtu anapepewa mkataba wa kuleta hesabu 15K per day kw mji kama dar Hapo hajala, hajaumwa,mvua haijanyesha, pikipiki haijaenda service.Kijana hapo bila kujizira hatoboi😄😄😄
Hiyo kazi ni nzito ndio maana muda wote wmelanduka.Vijana wnateketea na wakishakubuhu wanakuwa kama mateja hawawezi tena kufanya kazi nyingine.Wao ni kubet na mademu.Kila siku wanaamka na matumaini mapya ila hola.
Wengi wa Bodaboda ukiwuliza unafnya hiyo kazi huu mwaka wa ngapi,,majibu yao yanatafakarisha sana.Mtu anamiaka 5 yupo kwenye vhuma,miaka 8.Il maisha yao mungu saidia.