Mwanaume, Nini kinachangia utembee na mwanafunzi, tena under 18?

Huyo achana nae weekend ndio imeisha hajatumiwa hata sms ya kutakiwa siku njema lazma kichaa kimpande
We ni mpuuzi walahi.
Nitoe kwenye mawazo yako aisee
Comment Kwa michango yanaoyoendelea hapa
Sio mie

Kukemea mapenzi na under age ni kupandwa kichaa
Mpuuzi nini
 
Binti na yeye afungwe kwani hakujua kama anafanya kosa???
Sirikali si iamue tu wasome na kuolewa mambo yaisheπŸ€·πŸΏβ€β™‚οΈ
Zamani haya majambo yaliwezekanaje ila kwasasa yashindikane????
Hata kama Binti aliridhia (consent) ,ila bado yupo chini ya Sheria inayomlinda ya defilement....kama boda kakamatwa , wish him a god life under prison roofs
 
Sheria zinalinda ujinga vibinti vyenyewe vimecharuka unavilinda vya Kaz gan
Ndio hivyo... Kama hauna ile self control ya kiutuuzima unaweza kuanguka kwenye huu mtego wa hawa watoto.. na mbaya zaidi vinatoa greenlight vyenyewe ... Ni wewe tu ujiongeze... Hapo ndio shetani anakuangalia hivi ujichanganye
 
Kuna karma kwenye kila ubaya mtu anaofanya, hao wajiandae pia

Mtoto wa mwenzio ni mtoto wako, tuwaache wasome ili baadaye tupate wanasheria, Wahandisi, Madaktari n.k
Imagine mtoto wa miaka 14 form two ana mimba
 
Omba mungu akufanye mwanaume hata wiki tu utapata jibu la uhakika jibu la maneno utaona unadaganywa
Sawa hata kama ni kutafuta vizuri.kuvingoja vifikishe wakati sahihi Kuna shida?

Au unadhani wanawake hawana matamanio ya kupelekewa moto na vijana fresh na wenye nguvu kama zote wa miaka 17 wawawahi?

Ukimkuta mwanamke kamfungia ndani kijana wa miaka 15 amalomba kule wenzie wapo shule wanafanya mitihani utamuonaje?
 

Uliposema wanaume nikajua wanaume labda walimu au mfanyakazi fulani wa kueleweka...kumbe bodaboda!πŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…