Mwanaume, Nini kinachangia utembee na mwanafunzi, tena under 18?

Mwanaume, Nini kinachangia utembee na mwanafunzi, tena under 18?

Ndio hivyo... Kama hauna ile self control ya kiutuuzima unaweza kuanguka kwenye huu mtego wa hawa watoto.. na mbaya zaidi vinatoa greenlight vyenyewe ... Ni wewe tu ujiongeze... Hapo ndio shetani anakuangalia hivi ujichanganyeView attachment 3693132
Baluza tu mkuu Sheria zipo zivunjwe na kuzihepa
 
Ingawa Eipsein alikuwa anachukua teneegers anawapelekea wakubwa. Wanawafanya wanayotaka na hata kuwaua na kuwala....na dini yao ya Baal. Ushetani mtupu.

Wanadai watoto wadogo wana nyota zinang'aa bado
 
Hawakutoa watoto wao?

Wanachukua watoto nchi maskini...Far East, South America...waafrika ngozi yetu ilituangusha. Kuna majina ya wakubwa yakitajwa leo, dunia itasimama.

Unafiki wetu binadamu wa leo, ni wa kiwango cha juu sana. Kumtendea mtu wa mtu mwingine namna hiyo, unategemea wa kwako atafanyiwa nini?
 
Na ndio hao hao watetezi WA haki za binadamu.lakini sirini..
Ubaya ukimtendwa mwingine hauumi..ila akitendewa wako Sasa.
Mfano huyo trump binti yake auawe kama anavyoua wa wenzie uone reaction yake
 
We ni mpuuzi walahi.
Nitoe kwenye mawazo yako aisee
Comment Kwa michango yanaoyoendelea hapa
Sio mie

Kukemea mapenzi na under age ni kupandwa kichaa
Mpuuzi nini
dalili hizo ni zenyewe wala sikushangai
 
Nyie Msolopa Ganzi Makumazani yenu ni mtumba wa thailand 🇹🇭 too much used
 
Back
Top Bottom