Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 33,977
- 67,600
Hii inaonekana kali sana
Napo nunua mimi ni iyo ya juu epic 50000Weka na bei. Ili itusaidie kuitrqck mze.
Mimi siuzi perfume mm nauza shukaDuka lako linapatikana wapi au na we ni winga tu?
Sawa mkuuWewe paka caro light, ile ni zaidi ya perfume, harufu yake inatangulia mbele dakika 5 ,na kwa hakika utawakera sana watu kwa harufu yake mbaya.
SawaUsisahau kulipia Tangazo lako
Tz huipati mkuuHii inaonekana kali sana
Weka na bei mkuu.
Ata kwenye maduka ya waarabu?Tz huipati mkuu