Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 33,977
- 67,600
- Thread starter
-
- #21
Sheria ya perfume oga ndio upulizie usipulizie kama ujaoga au una jashoShida ya hizo ndude huyu anaweza akatumia akanukia vizuri mwengine akaitumia akanukia kama chamber za choo cha jiji.
Hapana maamuziIs this necessary ?
Pegasus original bei yake kama hiyo ni Β£148 kama laki nne na nusu ya bongo πWeka na bei. Ili itusaidie kuitrqck mze.
Hata maduka ya wayahudi hupatiAta kwenye maduka ya waarabu?
Kwahy mimi nauziwa fake?Pegasus original bei yake kama hiyo ni Β£148 kama laki nne na nusu ya bongo π
Ila kuna nyeupe yake 125ml ni zaid ya laki 7
Kwa bongo fake sijui
Inapatikana wapi?Hata maduka ya wayahudi hupati
Ahahah kweli tupo tofautiKiasili tu sipendi harufu kali... Ningekuwa sehemu za baridi ningetumia deodorant pekee
Buku jeroWeka na bei mkuu.
Zile hapana nunulia vijana bossZile Za Kariakoo Za Tshs 2000/= Vp Wakuu Hamzipendi
Hahahah,Pegasus original bei yake kama hiyo ni Β£148 kama laki nne na nusu ya bongo π
Ila kuna nyeupe yake 125ml ni zaid ya laki 7
Kwa bongo fake sijui
Mimi sijasema hivyoKwahy mimi nauziwa fake?
Safi sana bwashee mimi japo ni mlevi ila napenda kunukia , acha mazinguzi mwenyekiti π€£Mungu nifundishe kunyamaza
Nauziwa 50k kwa mshikaji wangu fulan hapo ana niuzia kishkajiMimi sijasema hivyo
Labda uweke bei za huko, inawezekana zipo chini kidogo kwa bei za huku
Maana tupigwa kwenye kodi zaidi
Angalia bei halafu mtu ananunua kila miezi miwili tofauti ππHahahah,
Nipeni dili kwanza nzee, mana mtaji hapa u.edondoka. Sina maisha.
Mkuu kwani hujaona niki sema Mungu nifundishe kunyamaza π πPegasus original bei yake kama hiyo ni Β£148 kama laki nne na nusu ya bongo π
Ila kuna nyeupe yake 125ml ni zaid ya laki 7
Kwa bongo fake sijui
Kwa muarabu ni 25,000 tuNauziwa 50k kwa mshikaji wangu fulan hapo ana niuzia kishkaji
Basi nimepigwa hapo nauziwa fake hiiAngalia bei halafu mtu ananunua kila miezi miwili tofauti ππView attachment 3403573