Mwanaume perfume hizi ni mzuri sana kwako

shibela mama uswege umeona perfume za kiume
Ewaaaaa,nimeziona Baba Gwamaka haya ndo masuala Sasa,Sio mwanaume unakuwa unanukia kibeberu🤓🤓🤓🤓
Kwenye lile Jambo letu la October utumiege yenye harufu tulivu muda wote natamani kuwa karibu na wewe!!!
 
😂😂 mimi napenda harufu kali ila nzuri
Mimi sina chaguo, harufu ikishakuwa kali tu inaniboa. Pia kuna nyumba zingine wanapulizia airfresh kama za ubani, nikifika sehemu hiyo tu siwezi kukaa sana
 
Kijana, unapoenda sipo! Kupika wewe na perfume wewe, hayo ya wao.
 
Ewaaaaa,nimeziona Baba Gwamaka haya ndo masuala Sasa,Sio mwanaume unakuwa unanukia kibeberu🤓🤓🤓🤓
Kwenye lile Jambo letu la October utumiege yenye harufu tulivu muda wote natamani kuwa karibu na wewe!!!
Mama uswege unanikosha sana sikuachiiiii
 
Mimi sina chaguo, harufu ikishakuwa kali tu inaniboa. Pia kuna nyumba zingine wanapulizia airfresh kama za ubani, nikifika sehemu hiyo tu siwezi kukaa sana
Izo za udi zina nipa mafua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…