Mwanaume perfume hizi ni mzuri sana kwako

Pegasus elfu 50!?
 
Ila watu wengi wa pwani, wahindi ama waarabu wanazipenda sana
Ni kweli na majini wana penda nishawai pendwa na mdada ana majini kumbe alivutiwa na perfume tu nikaja kujua duh nilichange njia
 
Ni kweli na majini wana penda nishawai pendwa na mdada ana majini kumbe alivutiwa na perfume tu nikaja kujua duh nilichange njia
Una bahati 😁😁 siku ungejichanganya nae maeneo halafu maruhani yanapanda kwa ghafla. Unataka kumfanya nini kiti wao 😁
 
Una bahati 😁😁 siku ungejichanganya nae maeneo halafu maruhani yanapanda kwa ghafla. Unataka kumfanya nini kiti wao 😁
Yaan alikalili haruf kiasi kwamba nikiwa niko mbali ana waambia wenzie fulan ana kuja nikawa najaa kichwaa kuja kuambiwa ana majini nika kata mguu kufika
 
VipI kuhusu yale marashi ya manara?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…