Mwanaume tafuta pesa, wanawake wazuri utawapata bila kujalisha una miaka mingapi

Mwanaume tafuta pesa, wanawake wazuri utawapata bila kujalisha una miaka mingapi

The Assassin

JF-Expert Member
Joined
Oct 30, 2018
Posts
4,942
Reaction score
20,077
Wanaume tutafte pesa, wanawake wazuri wapo tu miaka yote ya maisha yako.

Larry Ellison mmiliki wa kampuni ya mifumo ya Oracle ana miaka 80, ameoa kimwana wa miaka 33, tofauti ya umri wa miaka 47.

Mugabe alimuoa Grace akiwa anamzidi miaka 40,

Mmliki wa Nkatie Burger, burger maarufu sana Afrika Magharibi hasa Ghana ana miaka 74, amejichukulia kimwana wa miaka 24, tofauti ya miaka 50.

Sadio Mane wa Liverpool ana miaka 32 kajichukilia mtoto wa 2007, mtoto mbichi kabisa anakula maisha.

Wazee tutafte pesa.
 
Kabisa matumizi mazuri ya hela
Mie nikiwa billionea aise siwezi gegeda mwanamke above 28 years.
Hata Mimi Yani nawe na mawe ya kutosha alafu nikimbizana na mashangazi yanayonuka jasho la zaidi ya miaka 30. Hell fu*ck no.

Na wanawake walivyo wajinga hua wanawabeza wanaume ati "tafuteni hela nyie" hawajui tukizipata tunatuka na vibinti vya 18 - 22 years sio wao manungaiyembe
 
Hata Mimi Yani nawe na mawe ya kutosha alafu nikimbizana na mashangazi yanayonuka jasho la zaidi ya miaka 30. Hell JamiiForums' Community Engagement Guidelines | Mwongozo wa Ushiriki kwenye Mijadala no.

Na wanawake walivyo wajinga hua wanawabeza wanaume ati "tafuteni hela nyie" hawajui tukizipata tunatuka na vibinti vya 18 - 22 years sio wao manungaiyembe
🤣🤣🤣Alafu ndio uone walivyo wajinga...hawalijui hilo kuwa wanaume wenye hela wont waste time na over 30.

Ah mie labda nisizipate tuu. Lakini nina hela ni belo 28yrs nakula nao bata basi.

Mishangazi ya nini wakati kuna vitu portable and carriable🤣🤣🤣
 
30 sio finish line bwana mbona ni wazuri tu

hayo mambo ya kutumika vibaya ni nocebos tu, ni perceptions zenu

halafu unatoa wapi uchungu wa kuwatukana hivyo?
 
🤣🤣🤣Alafu ndio uone walivyo wajinga...hawalijui hilo kuwa wanaume wenye hela wont waste time na over 30.

Ah mie labda nisizipate tuu. Lakini nina hela ni belo 28yrs nakula nao bata basi.

Mishangazi ya nini wakati kuna vitu portable and carriable🤣🤣🤣
HAKIKA
 
Kabla ya kukutana na uzi huu muda mfupi uliopita nilikuwa najaribu kuweka road map nitupe ndoano kwa pisi kali nilikonasa nikanasika kwa mtoto mbichii anayetembelea kwenye miaka ya ishirini hivi. Nimempenda sana mrembo huyo binti ila nimemzidi umri pakubwa na pesa sina za kuweza kumtwaa kabisa awe mke mke wangu for the rest of my life. Ana mouphology nzuri kwangu, ana sauti nzuri ila naogopa akinikubalia nitawezaje kumtimizia mahitaji yake huyo binti mzuri aliyenivutia kimahaba/kimahusiano ya kimapenzi na ndoa ndoa? Nawaza niendelee na mchakato wa kujipendekeza kwake kwa kutoa fedha kidokidogo au niache kumshobokea. Naona bora nijaribu kutupa ndoano, akinichomolea poa tu nitapata mwingine wa kum approach
 
Kabisa matumizi mazuri ya hela
Mie nikiwa billionea aise siwezi gegeda mwanamke above 28 years.
Kuna mzee wangu mmoja alikua Katibu mkuu miaka flani, alikua anasema yeye mwanamke mwisho ni miaka 30, yaani ni kuanzia 18 hadi 30 huku yeye akiwa na miaka 56 enzi hizo.

Logic yake ni kwamba mwanamke akishakua na miaka 30 na zaidi anakua hana tofauti na mke wake ambae alikua na miaka 47 enzi hizo. Anasema ukuchepuka tafta kitu ambacho mkeo hana, sasa miaka 30 na miaka 47 ama 50 hawana tofauti sana hivyo kuchepuka na mwakamke wa miaka 30 plus ni matumizi mabaya ya dhambi ya kuchepuka.

Leo hii niko kwenye early 30s ndio namuelewa yule mzee.
 
kwa tanzania hizo couple za umri huo zina'prove kitu kingine kabisa mfano hayati reginald mengi, pius ngw'andu kuna lyatonga a. mrema na hapo sijamtaja likwelile na yule prof. kapuya.
Kapuya alijibebea kimwana wa miaka 24 yeye ana 70 plus, mzee wa watu nakula vitu vimenyooka, mileage ndogo. Hata ukifa unakufa honourably. Mengi the same, amekula mtoto mzuri Jack hadi anakufa.

Hata mimi natamani kuja kufa kifo cha aina ya Mengi, sio nakufa nina miaka 80 na mke wangu ana miaka 75, hell no.
 
Wasiokuwa na hela hawapati sex au,
Ila kila mtu apambane kivyake
Nyama generally zote ni nyama ila zinatofautiana ladha, nyama ya kitimoto sio sawa na nyama ya mbuzi, ya mbuzi sio sawa na kondoo, ya kondoo sio sawa na ng'ombe, ya ng'ombe sio kama ya pundamilia ama ya swala.

Nyama ya kuku sio kama nyama ya kanga, ama ya kwale ama ya mwewe ama ya sungura ama ya bata ingawa zote ni nyama.

Ladha ya mtoto wa 2007 sio sawa na mwanamke wa 1988 ama 1990, hawa wana ladha tofauti sana. Wa 2007 wengi bado Chuchu zimesimama, wa 1990 zilishalala, wa 2007 ngozi bado laini na mbichi, wa 1990 ngozi inatunzwa na vipodozi. Mtoto wa 2007 kwenye sex hua wengi wako halisia, anakuonyesha hisia halisi ya kunachomtokea ukiwa unamchakata, kama anaumia basi analia kwa uhalisia anaumia, kama anafurahia utamu basi anaonyesha uhalisia kwamba utamu uko mahala pake, huyu wa 1990 kwa 90% plus kwenye sex ni fake, hawa unaweza kuanza kuvua nguo tu mashine hata haijagusa mashavu ya k ashaanza kulia, fake akutengeneze akupige mzinga.

Kwa sas amimi niko na watoto wa kuanzia 2002 hadi 2007. Mwanamke wa 2001 kurudi huko 1990s sitongozi.
 
Australopithecus enjoying life.
FB_IMG_16053290742720814-1.jpg
 
Kabla ya kukutana na uzi huu muda mfupi uliopita nilikuwa najaribu kuweka road map nitupe ndoano kwa pisi kali nilikonasa nikanasika kwa mtoto mbichii anayetembelea kwenye miaka ya ishirini hivi. Nimempenda sana mrembo huyo binti ila nimemzidi umri pakubwa na pesa sina za kuweza kumtwaa kabisa awe mke mke wangu for the rest of my life. Ana mouphology nzuri kwangu, ana sauti nzuri ila naogopa akinikubalia nitawezaje kumtimizia mahitaji yake huyo binti mzuri aliyenivutia kimahaba/kimahusiano ya kimapenzi na ndoa ndoa? Nawaza niendelee na mchakato wa kujipendekeza kwake kwa kutoa fedha kidokidogo au niache kumshobokea. Naona bora nijaribu kutupa ndoano, akinichomolea poa tu nitapata mwingine wa kum approach
Kama unaona huwezi kuhimili mahitaji yake in the long run, basi fanya tu mpango umchakate tu kusafisha nyota kisha temana nae.

Wewe tupa ndoano mkuu, jifunze kutoka kwa wanyama mfano jogoo, yeye jogoo akiona tetea anamtaka anakimbiza tu, akimpata anamla akimkosa basi alikua anafanya mazoezi ya kuweka mwili safi. Mimi hiyo ndio falsafa yangu kama ya jogoo, mwanamke akinikataa ni sawa nilikua nafanya mazoezi, akinikubali basi vizuri.
 
Back
Top Bottom