Mwanaume tafuta pesa, wanawake wazuri utawapata bila kujalisha una miaka mingapi

Mwanaume tafuta pesa, wanawake wazuri utawapata bila kujalisha una miaka mingapi

Kama unaona huwezi kuhimili mahitaji yake in the long run, basi fanya tu mpango umchakate tu kusafisha nyota kisha temana nae.

Wewe tupa ndoano mkuu, jifunze kutoka kwa wanyama mfano jogoo, yeye jogoo akiona tetea anamtaka anakimbiza tu, akimpata anamla akimkosa basi alikua anafanya mazoezi ya kuweka mwili safi. Mimi hiyo ndio falsafa yangu kama ya jogoo, mwanamke akinikataa ni sawa nilikua nafanya mazoezi, akinikubali basi vizuri.
Nimecheka balaa 😂😂😂😂😂mwamba una falsafa moja kali sana
 
Wewe unazungumzia ma gold digger sasa sio wife material.
 
To be honest,  sijawahi kupoteza pesa wakuu, labda kama kuna mtu anataka nimsaidie kutafuta
 
Wanaume tutafte pesa, wanawake wazuri wapo tu miaka yote ya maisha yako.

Larry Ellison mmiliki wa kampuni ya mifumo ya Oracle ana miaka 80, ameoa kimwana wa miaka 33, tofauti ya umri wa miaka 47.

Mugabe alimuoa Grace akiwa anamzidi miaka 40,

Mmliki wa Nkatie Burger, burger maarufu sana Afrika Magharibi hasa Ghana ana miaka 74, amejichukulia kimwana wa miaka 24, tofauti ya miaka 50.

Sadio Mane wa Liverpool ana miaka 32 kajichukilia mtoto wa 2007, mtoto mbichi kabisa anakula maisha.


Wazee tutafte pesa.
kwahiyo usizini siyo dhambi tena!
 
Mwanaume kukata
Kabla ya kukutana na uzi huu muda mfupi uliopita nilikuwa najaribu kuweka road map nitupe ndoano kwa pisi kali nilikonasa nikanasika kwa mtoto mbichii anayetembelea kwenye miaka ya ishirini hivi. Nimempenda sana mrembo huyo binti ila nimemzidi umri pakubwa na pesa sina za kuweza kumtwaa kabisa awe mke mke wangu for the rest of my life. Ana mouphology nzuri kwangu, ana sauti nzuri ila naogopa akinikubalia nitawezaje kumtimizia mahitaji yake huyo binti mzuri aliyenivutia kimahaba/kimahusiano ya kimapenzi na ndoa ndoa? Nawaza niendelee na mchakato wa kujipendekeza kwake kwa kutoa fedha kidokidogo au niache kumshobokea. Naona bora nijaribu kutupa ndoano, akinichomolea poa tu nitapata mwingine wa kum approach
liwa kawaida sana mkuu, tupa ndoano akitema achana nae, usiende kinyonge sana kama ulivyoandika hapa as if huna choice nyingine zaidi yake atakusumbua. Nenda kwa mtongozo atakao mfanya ajione wakawaida kama wengine na ukweli wa uzuri unaouona ubaki nao wewe moyoni mwako, akichomoa potezea
 
kwahiyo usizini siyo dhambi tena!
Hizo ni stori tu za wazungu. Wazungu wameandika kwenye vitabu vyao kuzini ni dhambi na kufirana ni dhambi halafu wamefika hapa kati wamegeuza gia angani kwamba kufirana sio dhambi wala sio kosa

Sasa bora uwe na mwanamke zaidi ya mmoja ama uoe mwanaume mwenzako?
 
Back
Top Bottom