The Assassin
JF-Expert Member
- Oct 30, 2018
- 4,942
- 20,077
Hata Mimi Yani nawe na mawe ya kutosha alafu nikimbizana na mashangazi yanayonuka jasho la zaidi ya miaka 30. Hell fu*ck no.Kabisa matumizi mazuri ya hela
Mie nikiwa billionea aise siwezi gegeda mwanamke above 28 years.
🤣🤣🤣Alafu ndio uone walivyo wajinga...hawalijui hilo kuwa wanaume wenye hela wont waste time na over 30.Hata Mimi Yani nawe na mawe ya kutosha alafu nikimbizana na mashangazi yanayonuka jasho la zaidi ya miaka 30. Hell JamiiForums' Community Engagement Guidelines | Mwongozo wa Ushiriki kwenye Mijadala no.
Na wanawake walivyo wajinga hua wanawabeza wanaume ati "tafuteni hela nyie" hawajui tukizipata tunatuka na vibinti vya 18 - 22 years sio wao manungaiyembe
30 sio finish line bwana mbona ni wazuri tuHata Mimi Yani nawe na mawe ya kutosha alafu nikimbizana na mashangazi yanayonuka jasho la zaidi ya miaka 30. Hell JamiiForums' Community Engagement Guidelines | Mwongozo wa Ushiriki kwenye Mijadala no.
Na wanawake walivyo wajinga hua wanawabeza wanaume ati "tafuteni hela nyie" hawajui tukizipata tunatuka na vibinti vya 18 - 22 years sio wao manungaiyembe
HAKIKA🤣🤣🤣Alafu ndio uone walivyo wajinga...hawalijui hilo kuwa wanaume wenye hela wont waste time na over 30.
Ah mie labda nisizipate tuu. Lakini nina hela ni belo 28yrs nakula nao bata basi.
Mishangazi ya nini wakati kuna vitu portable and carriable🤣🤣🤣
Kuna mzee wangu mmoja alikua Katibu mkuu miaka flani, alikua anasema yeye mwanamke mwisho ni miaka 30, yaani ni kuanzia 18 hadi 30 huku yeye akiwa na miaka 56 enzi hizo.Kabisa matumizi mazuri ya hela
Mie nikiwa billionea aise siwezi gegeda mwanamke above 28 years.
Kapuya alijibebea kimwana wa miaka 24 yeye ana 70 plus, mzee wa watu nakula vitu vimenyooka, mileage ndogo. Hata ukifa unakufa honourably. Mengi the same, amekula mtoto mzuri Jack hadi anakufa.kwa tanzania hizo couple za umri huo zina'prove kitu kingine kabisa mfano hayati reginald mengi, pius ngw'andu kuna lyatonga a. mrema na hapo sijamtaja likwelile na yule prof. kapuya.
Nyama generally zote ni nyama ila zinatofautiana ladha, nyama ya kitimoto sio sawa na nyama ya mbuzi, ya mbuzi sio sawa na kondoo, ya kondoo sio sawa na ng'ombe, ya ng'ombe sio kama ya pundamilia ama ya swala.Wasiokuwa na hela hawapati sex au,
Ila kila mtu apambane kivyake
Kama unaona huwezi kuhimili mahitaji yake in the long run, basi fanya tu mpango umchakate tu kusafisha nyota kisha temana nae.Kabla ya kukutana na uzi huu muda mfupi uliopita nilikuwa najaribu kuweka road map nitupe ndoano kwa pisi kali nilikonasa nikanasika kwa mtoto mbichii anayetembelea kwenye miaka ya ishirini hivi. Nimempenda sana mrembo huyo binti ila nimemzidi umri pakubwa na pesa sina za kuweza kumtwaa kabisa awe mke mke wangu for the rest of my life. Ana mouphology nzuri kwangu, ana sauti nzuri ila naogopa akinikubalia nitawezaje kumtimizia mahitaji yake huyo binti mzuri aliyenivutia kimahaba/kimahusiano ya kimapenzi na ndoa ndoa? Nawaza niendelee na mchakato wa kujipendekeza kwake kwa kutoa fedha kidokidogo au niache kumshobokea. Naona bora nijaribu kutupa ndoano, akinichomolea poa tu nitapata mwingine wa kum approach