YE67NBE
JF-Expert Member
- Nov 30, 2015
- 15,155
- 36,337
Habari kwenu, nyote
Nilikuwa najiuliza kwa mfano ww ni mwanaume tajiri au una hela za kutosha,, na umri wako ni 35+ huko
Lets say kwa mwezi unaingiza 87M, ila hujaoa lakini wazazi wako, na ndugu wanakulazimisha uoe,
Lakini pia ukiangalia vitu vyote wanavyopata wanaume wenzako kwenye ndoa, wewe unavipata na zaidi yaani unapata in excess kabisa kupitia hela zako,
Kama:
1. Mwanamke MWENYE AKILI wa kukushauri.
2. Mwanamke MCHESHI wa kutaniana naye.
3. Mwanamke wa kubebishana nae na kukubembeleza.
4. Mwanamke MZURI wa kufanya naye tendo.
Hivi vyote hapo juu unapata sababu ya hela zako tu ulizonazo wala hutumii nguvu yoyote ile ni kugusa tu imo, ndani
Sasa mwanaume kama huyu anafaidika vipi na ndoa ndugu zangu wakati vyote hivi anavipata nje ya ndoa yake, tena kwa bashasha nyingi mno.
Na hata huo utajiri alipata bila uwepo wa mwanamke yeyote yule ni ku hustle tu kivyake for 15+ years huko, 🤔
Na hata mwanaume huyo akiumwa ana bima nzuri tu ya hela nyingi na anaweza tibiwa VIZURI TU,
Na mwanaume huyo hajatulia bado ana njaa ya mafanikio zaidi kama nini ingali ana hela ila ni mtafutaji sana tu,
Naombeni ushauri, na majibu nyie wanaume matajiri mliopata utajiri kwa nguvu zenu BILA MWANAMKE ila mkaja mkafunga ndoa baadae , je kuna faida, yoyote ile mliopata kwenye hizo ndoa zenu mpaka sasa
N.B: HUU UZI NIMEUWEKA ILI NIPATE USHAURI MZURI TU MAANA NIMEJIULZA SANA HILI SWALI ILA SIJAPATA JIBU SAHIHI, NINI FAIDA YA NDOA KWA MWANAUME TAJIRI 🤔🤔