mshamba_hachekwi
JF-Expert Member
- Mar 3, 2023
- 20,704
- 66,337
njoo uchukue zawadi yako mamaMazoea,kuzoeana na mtu mmoja tu maishani ni kitu chema sana mkuu....ubavu wako...siyo miubavu yako
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
njoo uchukue zawadi yako mamaMazoea,kuzoeana na mtu mmoja tu maishani ni kitu chema sana mkuu....ubavu wako...siyo miubavu yako
Kama upo kwenye ndoa ningeomba unisaidie ushauri mkuu,
Ndoa ni utapeliHafaidiki chochote zaidi ya kujitafutia stress...
Jeff bezos, Billgate Kanye west waliachana na wake zao waka move on na life lao.
Elon musk hajaoa,
Ndoa ni stress.
Na wanaoua, kuloga na kufanya vingine ili kupata mali,Utapata vyote unavyotaka kwa pesa zako lakini ukiwa nae mmoja akakuombea utapata na kufanikiwa zaidi, kuliko kuwa na wengi ambao kila mmoja anajiombea mwenyewe akupate wewe😂😂😂
Sawa, nakuja 🙏🙏🙏njoo uchukue zawadi yako mama
Ayo ni kama collateral damages tuu.. yapo kuanzia kwa wazazi, ndugu rafiki, mpenzi,mke, mtoto, hata hao wapenz wanaweza yafanya pia..Na wanaoua, kuloga na kufanya vingine ili kupata mali,
Maana si wote ni wema
Mazoea,kuzoeana na mtu mmoja tu maishani ni kitu chema sana mkuu....ubavu wako...siyo miubavu yako
Anahangaika nini kutengeneza midoli. Aishi ivi ivi kama vipi...Hafaidiki chochote zaidi ya kujitafutia stress...
Jeff bezos, Billgate Kanye west waliachana na wake zao waka move on na life lao.
Elon musk hajaoa,
Ndoa ni stress.
Yeye ana endeleza kampuni zake kiteknolojia anajua hizo robots atauza sana maana watu wanapenda ngonoAnahangaika nini kutengeneza midoli. Aishi ivi ivi kama vipi...
'Tendo la ndoa', halipatikani nje ya ndoa, hata kama analipata.Habari kwenu, nyote
Nilikuwa najiuliza kwa mfano ww ni mwanaume tajiri au una hela za kutosha,, na umri wako ni 35+ huko
Lets say kwa mwezi unaingiza 87M, ila hujaoa lakini wazazi wako, na ndugu wanakulazimisha uoe,
Lakini pia ukiangalia vitu vyote wanavyopata wanaume wenzako kwenye ndoa, wewe unavipata na zaidi yaani unapata in excess kabisa kupitia hela zako,
Kama:
1. Mwanamke MWENYE AKILI wa kukushauri.
2. Mwanamke MCHESHI wa kutaniana naye.
3. Mwanamke wa kubebishana nae na kukubembeleza.
4. Mwanamke MZURI wa kufanya naye tendo.
Hivi vyote hapo juu unapata sababu ya hela zako tu ulizonazo wala hutumii nguvu yoyote ile ni kugusa tu imo, ndani
Sasa mwanaume kama huyu anafaidika vipi na ndoa ndugu zangu wakati vyote hivi anavipata nje ya ndoa yake, tena kwa bashasha nyingi mno.
Na hata huo utajiri alipata bila uwepo wa mwanamke yeyote yule ni ku hustle tu kivyake for 15+ years huko, [emoji848]
Na hata mwanaume huyo akiumwa ana bima nzuri tu ya hela nyingi na anaweza tibiwa VIZURI TU,
Na mwanaume huyo hajatulia bado ana njaa ya mafanikio zaidi kama nini ingali ana hela ila ni mtafutaji sana tu,
Naombeni ushauri, na majibu nyie wanaume matajiri mliopata utajiri kwa nguvu zenu BILA MWANAMKE ila mkaja mkafunga ndoa baadae , je kuna faida, yoyote ile mliopata kwenye hizo ndoa zenu mpaka sasa
N.B: HUU UZI NIMEUWEKA ILI NIPATE USHAURI MZURI TU MAANA NIMEJIULZA SANA HILI SWALI ILA SIJAPATA JIBU SAHIHI, NINI FAIDA YA NDOA KWA MWANAUME TAJIRI [emoji848][emoji848]
Si kwamba wameachana na hiyo biashara, bali wako na watu wengine. Kubadilisha butcher, nyama ile ile.Hafaidiki chochote zaidi ya kujitafutia stress...
Jeff bezos, Billgate Kanye west waliachana na wake zao waka move on na life lao.
Elon musk hajaoa,
Ndoa ni stress.
Sikuzote mkeo ni ubavu wako mkuu,na biblia haijasema mbavu nyingi ...Yaan wanawake wengi...maana nijuacho pesa itakufanya uwe na wanawake wengi Kwa kubadilishabadilisha
Asante kwa ushauriInakuwaje mtu mmezaliwa na wazazi tofauti na hauna hata ukoo nae nae mmekutana ukubwani halafu awe ubavu wako??? Hii concept kwamba mke ni ubavu wa mume wake ni ya kipumbavu na haimake sense hata kwa mtu kichaa.
Back to the topic.
Kuwa tajiri na kukaribisha wanawake wengi tofauti tofauti kwenye maisha yako ni hatari zaidi ya ukoma.
Ukijaaliwa kuwa tajiri option salama kwako kuhusu mapenzi ni 2.
1- Nenda kijijini kwenu /kwenu ulikozaliwa, washirikishe wazee kuhusu mke bora, chagua yule watakaem-suggest kwako na wewe ukamuelewa..OA!! Linapokuja swala la kuoa muonekano wa mwanamke huwa sio kipaumbele. Kipaumbele ni SIFA NA TABIA za mwanamke husika.
2- Kama kuoa kwako sio big deal, kausha mambo ya mademu yasiwe kipaumbele sana, chagua girl friend mmoja tu kwa wakati..halafu asikujue saana..la sivyo UTAKUWA HATARI I UKIENDEKEZA WANAWAKE