Mwanaume tajiri anafaidika vipi na ndoa zaidi ya ngono tu?

Mwanaume tajiri anafaidika vipi na ndoa zaidi ya ngono tu?

Habari kwenu, nyote

Nilikuwa najiuliza kwa mfano ww ni mwanaume tajiri au una hela za kutosha,, na umri wako ni 35+ huko

Lets say kwa mwezi unaingiza 87M, ila hujaoa lakini wazazi wako, na ndugu wanakulazimisha uoe,

Lakini pia ukiangalia vitu vyote wanavyopata wanaume wenzako kwenye ndoa, wewe unavipata na zaidi yaani unapata in excess kabisa kupitia hela zako,

Kama:
1. Mwanamke MWENYE AKILI wa kukushauri.
2. Mwanamke MCHESHI wa kutaniana naye.
3. Mwanamke wa kubebishana nae na kukubembeleza.
4. Mwanamke MZURI wa kufanya naye tendo.

Hivi vyote hapo juu unapata sababu ya hela zako tu ulizonazo wala hutumii nguvu yoyote ile ni kugusa tu imo, ndani

Sasa mwanaume kama huyu anafaidika vipi na ndoa ndugu zangu wakati vyote hivi anavipata nje ya ndoa yake, tena kwa bashasha nyingi mno.

Na hata huo utajiri alipata bila uwepo wa mwanamke yeyote yule ni ku hustle tu kivyake for 15+ years huko, 🤔

Na hata mwanaume huyo akiumwa ana bima nzuri tu ya hela nyingi na anaweza tibiwa VIZURI TU,

Na mwanaume huyo hajatulia bado ana njaa ya mafanikio zaidi kama nini ingali ana hela ila ni mtafutaji sana tu,

Naombeni ushauri, na majibu nyie wanaume matajiri mliopata utajiri kwa nguvu zenu BILA MWANAMKE ila mkaja mkafunga ndoa baadae , je kuna faida, yoyote ile mliopata kwenye hizo ndoa zenu mpaka sasa

N.B: HUU UZI NIMEUWEKA ILI NIPATE USHAURI MZURI TU MAANA NIMEJIULZA SANA HILI SWALI ILA SIJAPATA JIBU SAHIHI, NINI FAIDA YA NDOA KWA MWANAUME TAJIRI 🤔🤔
Hizo 87m ni net au gross?
 
familia nzuri.ili kuwa na familia Bora hunabudi kuishi kwenye ndoa
hatakama una tilioni kazaa lakini watoto unazaa hovyo bila ndoa utazaraulika tuu kwenye uzao wako wanao watakuhisi wee ni muhuni tuu na kunasehem watakuona unapwaya hasa wakike.
Sasa wewe unaogopa? Mtu akiamua kukudharau haijalishi umefanyaje. Atakudharau tu.
 
Kuna chemistry fulani wanandoa lazma wawe nayo.

Kuna aina fulani ya kuzoeana lazima iwepo.
Muhimu sana hii...inasaidia sana kupunguza mivutano na inachochea mafanikio ya kifamilia.
 
Utapata vyote unavyotaka kwa pesa zako lakini ukiwa nae mmoja akakuombea utapata na kufanikiwa zaidi, kuliko kuwa na wengi ambao kila mmoja anajiombea mwenyewe akupate wewe😂😂😂
Mbona Diamond hana mke wa kumuombea na amefanikiwa kuliko wengi waliooa.
 
familia nzuri.ili kuwa na familia Bora hunabudi kuishi kwenye ndoa
hatakama una tilioni kazaa lakini watoto unazaa hovyo bila ndoa utazaraulika tuu kwenye uzao wako wanao watakuhisi wee ni muhuni tuu na kunasehem watakuona unapwaya hasa wakike.
Diamond, Bezo, Musk wanadharaulika?
 
Vingi Sana kama

1 Kutokuwa mpweke

2 Msaidizi na mshauri

3 Hupata watoto na familia

4 Furaha na ukomavu wa maisha

5 Huepuka Magonjwa yanayosababishwa na kula vyakula vya mgahawani

6 Msaidizi wa kupanga budget

7 Mtu atakayemuangalia wakati wa shida kama kuumwa

8 Hupata wa kuzeeka naye

Mengi Sana Mzee

Hamna mwanaume BIla mwanamke na hamna mwanamke BIla mwanaume
 
Vyote hivi vinawezekana bila ndoa. Good example diamond
 
Akina Diamond wako wangapi?
Huyo ni mfano...watu wapo wengi wenye hela Sana tu na hawajaoa na wanaenjoy. Siku hizi haya mambo ya haki sawa yameharibu Sana ndoa. Mwanamke akikucheat huruhusiwi kumgusa(sisapoti kupigana) Ila hata kumwacha bado unamlipa hela ndefu akazile na mwanaume mwingine na watoto anawachukua. Watu wengi Wanaona huu ni ukolo bora wale pisi wakitaka watoto watawapata watalea Ila mtu unatoa hela nyingi na ndugu Wanaona unaoa kesho kutwa unaachwa hata kazini na kwenye ukoo unapata aibu mwishowe mapresha kibao
 
Wewe unaongelea stori za ulaya..bongo sisi bado tunaheshimu ndoa.
 
Mbona Diamond hana mke wa kumuombea na amefanikiwa kuliko wengi waliooa.
Ndoa ni life achievement pia. ...
Huyo unayemtaja amefanikiwa kwa lipi?

Laiti....laiti ungejua anayoyapitia hakika ungetengua kauli.

# mwanaume kamili ni yule aliyeowa na anaishi na familia yake (kihalali)
 
Wewe unaongelea stori za ulaya..bongo sisi bado tunaheshimu ndoa.
Endelea kuheshimu. Ila usilazimishe kila mtu kuoa. Vijana wengi washaanza kuona haina maana wanawake wengi hawana maadili kila siku wake za watu wanaliwa mahotelini...na bado unalea wewe na ukimuacha unalipishwa na aibu unabeba wewe...
 
Ndoa ni life achievement pia. ...
Huyo unayemtaja amefanikiwa kwa lipi?

Laiti....laiti ungejua anayoyapitia hakika ungetengua kauli.

# mwanaume kamili ni yule aliyeowa na anaishi na familia yake (kihalali)
😂😂😂Sawa mondi hajafanikiwa wewe umefanikiwa kisa umeoa. 😂Ukiwa maskini unapenda kujikosha na chochote kile
 
Endelea kuheshimu. Ila usilazimishe kila mtu kuoa. Vijana wengi washaanza kuona haina maana wanawake wengi hawana maadili kila siku wake za watu wanaliwa mahotelini...na bado unalea wewe na ukimuacha unalipishwa na aibu unabeba wewe...
Hahaah ukioa malaya lazima aliwe hotelini tu na wajuba.
Na usipooa wewe Mwanaume angalia usije ukaolewa tu.

Ni angalizo
 
Back
Top Bottom