Mwanaume tajiri anafaidika vipi na ndoa zaidi ya ngono tu?

Sikuzote mkeo ni ubavu wako mkuu,na biblia haijasema mbavu nyingi ...Yaan wanawake wengi...maana nijuacho pesa itakufanya uwe na wanawake wengi Kwa kubadilishabadilisha
Mnapenda sana kutumia hayo mavitabu ya dini kwenye kila jambo kwenywe jamii ya mchanganyiko wa watu wengi wenyewe mitazamo tofauti , ndio maana mkipigwa za mbavu mdhibitishe uwepo wake mnapoteana [emoji847][emoji16][emoji16][emoji16].
 
[emoji23][emoji23][emoji23]Sawa mondi hajafanikiwa wewe umefanikiwa kisa umeoa. [emoji23]Ukiwa maskini unapenda kujikosha na chochote kile
Son, Mafanikio ni nini?
.....
.... naamini hili swali sio la rika lako.
Naomba unijibu ifikapo 2035, inawezekana utakuwa umepevuka kidogo.
 
Mnapenda sana kutumia hayo mavitabu ya dini kwenye kila jambo kwenywe jamii ya mchanganyiko wa watu wengi wenyewe mitazamo tofauti , ndio maana mkipigwa za mbavu mdhibitishe uwepo wake mnapoteana [emoji847][emoji16][emoji16][emoji16].
Ukiwa kaburini uje useme tena mkuu
 
Hahaah ukioa malaya lazima aliwe hotelini tu na wajuba.
Na usipooa wewe Mwanaume angalia usije ukaolewa tu.

Ni angalizo
Solution ni kutokuoa tu....coz hapa ni kama unabet. Mademu wangapi walokole wanaolewa mwishowe wanaliwa na wachungaji. 😂We kama unataka kubet kabeti tu
 
Mnapenda sana kutumia hayo mavitabu ya dini kwenye kila jambo kwenywe jamii ya mchanganyiko wa watu wengi wenyewe mitazamo tofauti , ndio maana mkipigwa za mbavu mdhibitishe uwepo wake mnapoteana [emoji847][emoji16][emoji16][emoji16].
😂Wanatumia hekaya za mababu au sio
 
Son, Mafanikio ni nini?
.....
.... naamini hili swali sio la rika lako.
Naomba unijibu ifikapo 2035, inawezekana utakuwa umepevuka kidogo.
😂😂😂😂😂Acha kujikosha.... 😂Mtu ni influential, analipa millions in taxes ameajiri watu mamia kwa mamia, amesaidia jamii...😂hajafanikiwa kisa Hana mke...,😊bac umefanikiwa baba sijui nikuite mzee maana umeassume my age. 😂Mondi ni boya kwako kisa kakataa kufunga ndoa we ndo mjanja. Amen
 
Back
Top Bottom