Mnapenda sana kutumia hayo mavitabu ya dini kwenye kila jambo kwenywe jamii ya mchanganyiko wa watu wengi wenyewe mitazamo tofauti , ndio maana mkipigwa za mbavu mdhibitishe uwepo wake mnapoteana [emoji847][emoji16][emoji16][emoji16].Sikuzote mkeo ni ubavu wako mkuu,na biblia haijasema mbavu nyingi ...Yaan wanawake wengi...maana nijuacho pesa itakufanya uwe na wanawake wengi Kwa kubadilishabadilisha
Son, Mafanikio ni nini?[emoji23][emoji23][emoji23]Sawa mondi hajafanikiwa wewe umefanikiwa kisa umeoa. [emoji23]Ukiwa maskini unapenda kujikosha na chochote kile
Ukiwa kaburini uje useme tena mkuuMnapenda sana kutumia hayo mavitabu ya dini kwenye kila jambo kwenywe jamii ya mchanganyiko wa watu wengi wenyewe mitazamo tofauti , ndio maana mkipigwa za mbavu mdhibitishe uwepo wake mnapoteana [emoji847][emoji16][emoji16][emoji16].
Kaburini ata uskisema yupo au hayupo jambo ni lilelile kuwa umekufa basi.Ukiwa kaburini uje useme tena mkuu
Sawasawa mkuuKaburini ata uskisema yupo au hayupo jambo ni lilelile kuwa umekufa basi.
Umekunywa chai lakni😊😊Sawasawa mkuu
Njaa inaniuma kweli yaan,ila Leo nataka Nile mchana tuUmekunywa chai lakni😊😊
Solution ni kutokuoa tu....coz hapa ni kama unabet. Mademu wangapi walokole wanaolewa mwishowe wanaliwa na wachungaji. 😂We kama unataka kubet kabeti tuHahaah ukioa malaya lazima aliwe hotelini tu na wajuba.
Na usipooa wewe Mwanaume angalia usije ukaolewa tu.
Ni angalizo
😂Wanatumia hekaya za mababu au sioMnapenda sana kutumia hayo mavitabu ya dini kwenye kila jambo kwenywe jamii ya mchanganyiko wa watu wengi wenyewe mitazamo tofauti , ndio maana mkipigwa za mbavu mdhibitishe uwepo wake mnapoteana [emoji847][emoji16][emoji16][emoji16].
😂😂😂😂😂Acha kujikosha.... 😂Mtu ni influential, analipa millions in taxes ameajiri watu mamia kwa mamia, amesaidia jamii...😂hajafanikiwa kisa Hana mke...,😊bac umefanikiwa baba sijui nikuite mzee maana umeassume my age. 😂Mondi ni boya kwako kisa kakataa kufunga ndoa we ndo mjanja. AmenSon, Mafanikio ni nini?
.....
.... naamini hili swali sio la rika lako.
Naomba unijibu ifikapo 2035, inawezekana utakuwa umepevuka kidogo.
😂😂😂😂acha kutisha ulichotishwa na waarabu. Vitu vingine jiongeze, ye akienda huko kaburini akarudi au...Ukiwa kaburini uje useme tena mkuu
Njaa inaniuma kweli yaan,ila Leo nataka Nile mchana tu
Kabisa mkuu😂Wanatumia hekaya za mababu au sio