Mwanaume tengeneza ndoa tulivu kwa kufanya haya

1.mpende kwa maneno mazur mkeo

2.mpe pesa sio lazima hela nying ni hata vijisent mpe tu elf 7 kum na nk bila maelekezo yaan yake kama unazo nying mpe tu hata nne tano milion au gar

3.kua msafi unaevutia mbele za watu au wanawake wengine

4.jar ndugu zake au marafiki

5.show show kitandan fanya kama alikula nauli mara nying sasa leo kakosea njia kaja

6.msaidie kaz siku moja moja

7.muheshimu yaan tembea na machangudoa madem kibao lakin asijue yaan usiwasiliane nao kwa simu yako hata ukimuachia week nzima asione kitu

8.usiwe na gubu kufoka foka kama msanii wa hiphop

9.msifie mbele za watu au mkiwa wawil ukiona dc magot anamsifia wife kwenye mkutano wa hadhara sio boya ile ni mbinu ya kivita

10.mpe mipango yako mikubwa ajue future yako like kuna kampuni yangu ntaifungua au bar na nk

Uchawi upo humu ukiyaelewa niliyoyasema umeyaelewa maisha

Usiwe na matarijio meng kwa mwanamke akikuzalia na kukufulia chupi inatosha usiwe complicated na kutaka afanye meng nae ni binadam kama anakusalit na anakuficha na nyumban anakupa huduma zote kama mume ziba macho kama huon

Adam tu aliachana na mke wake
Kwa makosa ya mwanamke hivyo atakukosea tu jiandae kisaikolojia kua uko na mkosaji mda wowote ataharibu usiwe surprise akikosoa ukaanza kulia mpaka makamasi
This is bulshit.
A man should not be as ignorant as this soy man.
Pathetic.
 
Namba 7. yamenikuta nipo natengeneza Hali ya amani irud Kama zamani Sitorudia japo ni meseji tuu.
 
Mapenzi Ndoa..Very complicated issue..Tukaze msuri kwenye namba2 maybe
 
Mdogo wangu itumie weekend yako vizuri kwa kupumzika au kwenda baharini kubalizi. Wewe ni Mwanafunzi wa Chuo unajiko nfyuziii na mambo ambayo hujayafikia soma kwanza.

Cc: Mpaji Mungu
Hahaa
This is bulshit.
A man should not be as ignorant as this soy man.
Pathetic.
Na hapo ndio mnapofel mtapigiwa sana wake zenu sababu hamjui sayany ya kuish na wanawake
 
1.mpende kwa maneno mazur mkeo

2.mpe pesa sio lazima hela nying ni hata vijisent mpe tu elf 7 kum na nk bila maelekezo yaan yake kama unazo nying mpe tu hata nne tano milion au gar

3.kua msafi unaevutia mbele za watu au wanawake wengine

4.jar ndugu zake au marafiki

5.show show kitandan fanya kama alikula nauli mara nying sasa leo kakosea njia kaja

6.msaidie kaz siku moja moja

7.muheshimu yaan tembea na machangudoa madem kibao lakin asijue yaan usiwasiliane nao kwa simu yako hata ukimuachia week nzima asione kitu

8.usiwe na gubu kufoka foka kama msanii wa hiphop

9.msifie mbele za watu au mkiwa wawil ukiona dc magot anamsifia wife kwenye mkutano wa hadhara sio boya ile ni mbinu ya kivita

10.mpe mipango yako mikubwa ajue future yako like kuna kampuni yangu ntaifungua au bar na nk

Uchawi upo humu ukiyaelewa niliyoyasema umeyaelewa maisha

Usiwe na matarijio meng kwa mwanamke akikuzalia na kukufulia chupi inatosha usiwe complicated na kutaka afanye meng nae ni binadam kama anakusalit na anakuficha na nyumban anakupa huduma zote kama mume ziba macho kama huon

Adam tu aliachana na mke wake
Kwa makosa ya mwanamke hivyo atakukosea tu jiandae kisaikolojia kua uko na mkosaji mda wowote ataharibu usiwe surprise akikosoa ukaanza kulia mpaka makamasi
Hapo kwa kuwajaki mdg zangu wameshindwa.

Huyu mbaba anamchukia mdg angu sijui kwa nn..wengine anawakubali ila kuna mmoja hampendi na inapotokea amekuja akamkuta hapo maneno makali hayataisha.....

Ilikuwa hivi.

Mwanetu alikuja jijin kusoma, akamaliza chuo...akatafuta vibarua akapangisha akawa anaishi....

Tamaa za mdg angu akija kwangu akiona kitu hatukitumii ananiomba anabeba....mbaba akawa ametulia tu...akaniambia ipo siku huyu dogo atabeba vitu....siku moja wamebaki na dada wa kazi....tuna kuku wengi wa cloila....na jogooo mkongwe wa kienyeji akapotea siku 3...mume wangu alizunguka mji mzima hakumpata...

Dada wa kazi akadai kaka alikuwa bandani na baadae alitoka na mfuko ...mmmh tukajiuliza ina maana atakuwa amemuiba??

ikapita kimya....chuki zizizidi...

Na sasa ameomba akapange chumba maana kule amerudisha...apangishe karb na hapa awe anakuja kula nk....

Kisa baba anadai mtoto gani anaingia kila sehem kama kwake. Mm najua ni hatari akiwa na wanangu wakike karbu. Ila huyu ni mdg angu
 
1.mpende kwa maneno mazur mkeo

2.mpe pesa sio lazima hela nying ni hata vijisent mpe tu elf 7 kum na nk bila maelekezo yaan yake kama unazo nying mpe tu hata nne tano milion au gar

3.kua msafi unaevutia mbele za watu au wanawake wengine

4.jar ndugu zake au marafiki

5.show show kitandan fanya kama alikula nauli mara nying sasa leo kakosea njia kaja

6.msaidie kaz siku moja moja

7.muheshimu yaan tembea na machangudoa madem kibao lakin asijue yaan usiwasiliane nao kwa simu yako hata ukimuachia week nzima asione kitu

8.usiwe na gubu kufoka foka kama msanii wa hiphop

9.msifie mbele za watu au mkiwa wawil ukiona dc magot anamsifia wife kwenye mkutano wa hadhara sio boya ile ni mbinu ya kivita

10.mpe mipango yako mikubwa ajue future yako like kuna kampuni yangu ntaifungua au bar na nk

Uchawi upo humu ukiyaelewa niliyoyasema umeyaelewa maisha

Usiwe na matarijio meng kwa mwanamke akikuzalia na kukufulia chupi inatosha usiwe complicated na kutaka afanye meng nae ni binadam kama anakusalit na anakuficha na nyumban anakupa huduma zote kama mume ziba macho kama huon

Adam tu aliachana na mke wake
Kwa makosa ya mwanamke hivyo atakukosea tu jiandae kisaikolojia kua uko na mkosaji mda wowote ataharibu usiwe surprise akikosoa ukaanza kulia mpaka makamasi
Huwajui wanawake, kama Mungu aliyewaumba kashindwa kuwaridhisha utaweza wewe? (kawapa makali na matiti wanayabadilisha, kucha, nywele, nyusi, mashavu nakadhalika)
 
5.show show kitandan fanya kama alikula nauli mara nying sasa leo kakosea
njia kaja
Naaaaaaaaaam

Kijana,Pesa yako na soda/bia unataka upokee kwa njia gani kiusalama zaidi?
 
Hahaa

Na hapo ndio mnapofel mtapigiwa sana wake zenu sababu hamjui sayany ya kuish na wanawake
1. You are dick driven soy boy suffering from scrotal anxiety.
2. You are stuck in phallic phase.
 
1.mpende kwa maneno mazur mkeo

2.mpe pesa sio lazima hela nying ni hata vijisent mpe tu elf 7 kum na nk bila maelekezo yaan yake kama unazo nying mpe tu hata nne tano milion au gar

3.kua msafi unaevutia mbele za watu au wanawake wengine

4.jar ndugu zake au marafiki

5.show show kitandan fanya kama alikula nauli mara nying sasa leo kakosea njia kaja

6.msaidie kaz siku moja moja

7.muheshimu yaan tembea na machangudoa madem kibao lakin asijue yaan usiwasiliane nao kwa simu yako hata ukimuachia week nzima asione kitu

8.usiwe na gubu kufoka foka kama msanii wa hiphop

9.msifie mbele za watu au mkiwa wawil ukiona dc magot anamsifia wife kwenye mkutano wa hadhara sio boya ile ni mbinu ya kivita

10.mpe mipango yako mikubwa ajue future yako like kuna kampuni yangu ntaifungua au bar na nk

Uchawi upo humu ukiyaelewa niliyoyasema umeyaelewa maisha

Usiwe na matarijio meng kwa mwanamke akikuzalia na kukufulia chupi inatosha usiwe complicated na kutaka afanye meng nae ni binadam kama anakusalit na anakuficha na nyumban anakupa huduma zote kama mume ziba macho kama huon

Adam tu aliachana na mke wake
Kwa makosa ya mwanamke hivyo atakukosea tu jiandae kisaikolojia kua uko na mkosaji mda wowote ataharibu usiwe surprise akikosoa ukaanza kulia mpaka makamasi
Kwa andiko hili! Wewe utaa muasisi muandamizi daraja la tatu A wa ule semi wa ndoa ndoano!! Hakika u vizuri kutumia chambo kusudi ale alive!!
 
Kwan kufanya majaribip sh ngap shida ya wabongo wanapenda kukata tamaa kabla hajaanza jambo utasikia huwez ngumu sanaaa wengi wameshindwa na nk sasa hujajaribu ushaanza kujikatia tamaa
Unazungumzia kufanya majaribio wakati tulisha experience na tunazungumza kama ma-graduate wenye PhD? Unatania wewe!
 
Back
Top Bottom