Mwanaume tengeneza ndoa tulivu kwa kufanya haya

Sasa bwashe Kwa ulichoandika hapa ndo ushauri watu kuhusu ndoa?
Mungu sio mjinga mpaka akakuambia oa wanne kama nguvu hunazo utamchosha mmoja unafikir mimi kama nyinyi watoto wa mjini kimoja chali mpaka week ijayo mimi bila tano sijashuka kitandan na hiyo jumatatu na jtano nataka ijumaa na jumapil na nina rungu nch nane
 
Nazungumzia mke mwema sio kila mwanazme ni mume na sio kila mwanamke ni mke
Ndiyo maana nikakuambia kuwa siyo kila mwanamke ukimtendea kama ulivyo-suggest basi atakuwa mzuri kwako. Wewe umeandika kwa kushawishi kuwa ''ukitaka mke wako awe hivi, basi fanya 1, 2, 3. Mimi nikakuambia kuwa mambo hayako hivyo. Huoni unaji-contradict mwenyewe?
 
Mungu sio mjinga mpaka akakuambia oa wanne kama nguvu hunazo utamchosha mmoja unafikir mimi kama nyinyi watoto wa mjini kimoja chali mpaka week ijayo mimi bila tano sijashuka kitandan na hiyo jumatatu na jtano nataka ijumaa na jumapil na nina rungu nch nane
Ulisema umejiunga 2013? Miaka 12 kwenye ndoa? Na una mchepuko? Na hayo ndo mawazo yako?
 
1.mpende kwa maneno mazur mkeo

2.mpe pesa sio lazima hela nying ni hata vijisent mpe tu elf 7 kum na nk bila maelekezo yaan yake kama unazo nying mpe tu hata nne tano milion au gar

3.kua msafi unaevutia mbele za watu au wanawake wengine

4.jar ndugu zake au marafiki

5.show show kitandan fanya kama alikula nauli mara nying sasa leo kakosea njia kaja

6.msaidie kaz siku moja moja

7.muheshimu yaan tembea na machangudoa madem kibao lakin asijue yaan usiwasiliane nao kwa simu yako hata ukimuachia week nzima asione kitu

8.usiwe na gubu kufoka foka kama msanii wa hiphop

9.msifie mbele za watu au mkiwa wawil ukiona dc magot anamsifia wife kwenye mkutano wa hadhara sio boya ile ni mbinu ya kivita

10.mpe mipango yako mikubwa ajue future yako like kuna kampuni yangu ntaifungua au bar na nk

Uchawi upo humu ukiyaelewa niliyoyasema umeyaelewa maisha

Usiwe na matarijio meng kwa mwanamke akikuzalia na kukufulia chupi inatosha usiwe complicated na kutaka afanye meng nae ni binadam kama anakusalit na anakuficha na nyumban anakupa huduma zote kama mume ziba macho kama huon

Adam tu aliachana na mke wake
Kwa makosa ya mwanamke hivyo atakukosea tu jiandae kisaikolojia kua uko na mkosaji mda wowote ataharibu usiwe surprise akikosoa ukaanza kulia mpaka makamasi
Mkuu hao hata uchukue zakari yako umpe akae nayo bado hawezi tulia
 
Namba 2 tafadhali, ajitokeze mtu ili aionje mbingu ya ndoa🙏
 
Ndiyo maana nikakuambia kuwa siyo kila mwanamke ukimtendea kama ulivyo-suggest basi atakuwa mzuri kwako. Wewe umeandika kwa kushawishi kuwa ''ukitaka mke wako awe hivi, basi fanya 1, 2, 3. Mimi nikakuambia kuwa mambo hayako hivyo. Huoni unaji-contradict mwenyewe?
Kwan kufanya majaribip sh ngap shida ya wabongo wanapenda kukata tamaa kabla hajaanza jambo utasikia huwez ngumu sanaaa wengi wameshindwa na nk sasa hujajaribu ushaanza kujikatia tamaa
 
1.mpende kwa maneno mazur mkeo

2.mpe pesa sio lazima hela nying ni hata vijisent mpe tu elf 7 kum na nk bila maelekezo yaan yake kama unazo nying mpe tu hata nne tano milion au gar

3.kua msafi unaevutia mbele za watu au wanawake wengine

4.jar ndugu zake au marafiki

5.show show kitandan fanya kama alikula nauli mara nying sasa leo kakosea njia kaja

6.msaidie kaz siku moja moja

7.muheshimu yaan tembea na machangudoa madem kibao lakin asijue yaan usiwasiliane nao kwa simu yako hata ukimuachia week nzima asione kitu

8.usiwe na gubu kufoka foka kama msanii wa hiphop

9.msifie mbele za watu au mkiwa wawil ukiona dc magot anamsifia wife kwenye mkutano wa hadhara sio boya ile ni mbinu ya kivita

10.mpe mipango yako mikubwa ajue future yako like kuna kampuni yangu ntaifungua au bar na nk

Uchawi upo humu ukiyaelewa niliyoyasema umeyaelewa maisha

Usiwe na matarijio meng kwa mwanamke akikuzalia na kukufulia chupi inatosha usiwe complicated na kutaka afanye meng nae ni binadam kama anakusalit na anakuficha na nyumban anakupa huduma zote kama mume ziba macho kama huon

Adam tu aliachana na mke wake
Kwa makosa ya mwanamke hivyo atakukosea tu jiandae kisaikolojia kua uko na mkosaji mda wowote ataharibu usiwe surprise akikosoa ukaanza kulia mpaka makamasi
Baba yake Abdul anapata wasaa wa kufanya hayo kwa mama Abdul ?
 
Kwan kufanya majaribip sh ngap shida ya wabongo wanapenda kukata tamaa kabla hajaanza jambo utasikia huwez ngumu sanaaa wengi wameshindwa na nk sasa hujajaribu ushaanza kujikatia tamaa
Mdogo wangu itumie weekend yako vizuri kwa kupumzika au kwenda baharini kubalizi. Wewe ni Mwanafunzi wa Chuo unajiko nfyuziii na mambo ambayo hujayafikia soma kwanza.

Cc: Mpaji Mungu
 
1.mpende kwa maneno mazur mkeo
2.mpe pesa sio lazima hela nying ni hata vijisent mpe tu elf 7 kum na nk bila maelekezo yaan yake kama unazo nying mpe tu hata nne tano milion au gar

3.kua msafi unaevutia mbele za watu au wanawake wengine

4.jar ndugu zake au marafiki
Nimeishia hapa kusoma naona umekodiwa wewe sio Bure.
 
Back
Top Bottom