Mwanaume, Ukiona mwanamke wako kaanza kukaa mbali nawe, fanya hivi…

Mwanaume, Ukiona mwanamke wako kaanza kukaa mbali nawe, fanya hivi…

Kwani kmetokea nini?? Huu uzi wa nne unaongelea kuwalipizia wanawake.!! 🤣🤣🤣
Si tumekubaliana mapenzi tuyachukulie km burudani, muziki ukiisha kila mmoja na njia yake.😜
Si kweli, mi natoa maarifa yangu kuwafungua wanaume wenye hisia sana na wanawake. Wanaume wenye hisia wakisalitiwa wanaweza fanya mambo ya ajabu. So ni bora wajue mapema kuwa dawa sio kupiga wala kuua ni kujiondoa.
 
Na kwann wasalitiwe?? 😂
 
hivi hao nice guys bado wapo kwenye huu ulimwengu wa sasa!?,,,kama yupo na unamfahamu naomba uniunganishe nae 🤣😂
Wapo , kuna mmoja alisalitiwa juzi kati , akataka kujinyonga, ilibidi tumsaidie maana aliathiriwa kisaikolojia baada ya kusalitiwa.
 
Ni mwanaume mjinga tu anayeteswa na wanawake. Hatujaumbwa kwa ajili ya wanawake, tumeumbwa kutimiza makusudi tunayopaswa kufanya.
Sawa endeleeni kushusha nyuzi tutajua nani anateseka 🤣🤣🤣
Maana hao wanawake tumenyamaza ila wasemaji mko mbio mbio km mnakimbiza mwenge
 
Back
Top Bottom