Mwanaume, Ukiona mwanamke wako kaanza kukaa mbali nawe, fanya hivi…

Mwanaume, Ukiona mwanamke wako kaanza kukaa mbali nawe, fanya hivi…

Sawa endeleeni kushusha nyuzi tutajua nani anateseka 🤣🤣🤣
Maana hao wanawake tumenyamaza ila wasemaji mko mbio mbio km mnakimbiza mwenge
Uzuri wake ujumbe huu unawahusu sana wanaume . Ila nyinyi pia mnaweza changia.
Ila it's especially for men.
 
sote tu watu wazima hizo mambo za kuviziana tumeachia under 18 hao kutestiana ni sawa nishakua nyani mzee nakutest nigundue nini kwa mfano? kaa hapa tutulie tuenjoi maisha yeye kam hajamaliza ujana ni shauri yake sina muda, mambo ni mengi n muda ni mchache
Wewe ni mchaga
 
oooh
Wabembelezaji wengi Marioo au hawana pa kwenda.!! Sasa nani anataka kugandwa na gendaeka 🤣🤣🤣
kumbe ndo yanaendelea sasa kwenye ulimwengu wa mapenz 😂😂😂😂
 
Back
Top Bottom