Mwanaume, Ukiona mwanamke wako kaanza kukaa mbali nawe, fanya hivi…

Mwanaume, Ukiona mwanamke wako kaanza kukaa mbali nawe, fanya hivi…

Sitaki kukosea ila kuzaliwa mwanamke ni hasara kubwa mno! Hv wanawake wanajichukuliaje?? Aisee viumbe dhaifu,vyombo vya starehe au??
 
Mimi nawakataza wanaume kuwaoa wanawake wanaotanguliza pesa na wasiowapenda.
Pia wanawake wanaopenda sana mitandao ya kijamii hawafai kuolewa, namaanisha kila muda yuko JF.
uyo wa kila mda jf ndomimi sasa,, usinambie nshakosa mume😫
 
🤣🤣🤣 Hivi unakijua unachokiongea?? Unafikiri mke wa GSM hata akisikia mume wake anachit ataondoka??
Tafuta pesa acha ubishi!! Hizo mambo aliziweza Ayubu peke yake, hata alipochukuliwa utajiri wake wote alibaki na Mungu. Ila sio kwa sie kina bazoka
Mke wa GSM aliolewa akiwa bikra. So emotional attachment ipo. Wanawake wakiwa na wanaume wengi , anakosa attachment.
 
Ndo wanawake hao, na ukijifanya unakaza unaishia kuachwa tyu. Kikubwa ishi kama mjinga tu play the fool maisha yatakua rahisi sana
 
Acha watu wa enjoys utoto, wakikia wataacha. Usawa huu ukaanze kukimbizana na issues za wanawake kweli, katika mambo yoooote haya ya kufanya?!!
Umesema vyema mkuu

Kuna mambo ya maana ya kuyapambania kwenye haya maisha. Mambo ni mengi hata muda hautoshi

Halafu eti kuna mtu anahangaika na wanawake tena malaya kama sio usenge ni nini?

Utoto raha sana
 
Ni uamuzi wako ila ukifika miaka 30+ huna cheti cha ndoa, utakuja kulia.
Mimi huyu?? Kwa kero za wanaume kuna rafiki yangu nilimshauri cheti chake cha ndoa tukichome tuotee moto baridi kali.!! 🤣🤣🤣
 
Sasa watu kama akina Lamomy ni wa kuwababaisha na ndoa? Hao ni makanjanja promax wala hawana habar . Date them at your own risks. 😂
🤣🤣🤣🤣 Yeye miaka hii anahisi kumuofa mwanamke ndoa big deal eti.!!
Tumwambie au tumuache???
 
Back
Top Bottom