Lamomy
JF-Expert Member
- Sep 4, 2023
- 25,425
- 59,309
Sauti yako hauwezi kusaidia, tatizo wana vichwa viwili na kidogo ndo kibishi linapokuja suala zima la maamuzi 😜🤣🤣🤣Na hakuna mwanaume wa kufanyiwa ujinga tena. Labda atake mwenyewe .
Nitaendelea kupaza sauti, ili wao wapate elimu.