Mwanaume, Ukiona mwanamke wako kaanza kukaa mbali nawe, fanya hivi…

Leo umereply in peace mana mara ya mwisho ilikua ni vita,,

enewei,, ukweli usemwe huku nje hakufai hata kidogo.
Me sina shida na wewe na wala haikuwa vita dada yangu, uwe na amani.
Nadhani tulitofautiana mambo ambayo tunaweza kukubali kutofautiana.
Usiku mwema na msalimie shemeji.
 
asante nawewe pia,,niko single usinizibie rizki bwana weweeeeeeeee 🤣
 
Ktk dunia ya sasa ambapo ngono inathaminishwa na pesa, mapenzi hutakiwi kuyachukulia serious. Ingia kwenye mapenzi huku ukitenga asilimia atleast 25 kwamba kuna siku utaachwa,itakusaidia sana.

Kwani siku hizi kuachwa kitu cha kawaida,ndugu zangu Church/good guy pamoja na kujitoa kwa hali na mali bado wanaachwa huku wahuni wakikumbatiwa.

So kuachwa ni kitu cha kawaida sana siku hizi.
 
yani mimi nikae tuanze kuviziana kama fisi anayesubiri mkono udondoke ukianza kunionesha mapicha picha imekula kwako namaanisha niko kama kioo ukicheka nacheka ukinuna nanuna maisha yaniumize kichwa na mtu tuliekutana ukubwani naye anichanganye haiwezekani!
Tangu lini maisha yakuumize kichwa wakati tunajua umewekwa ndani na kibosile mmoja unajipakulia minyama TU, waseme wengine sio wewe kimwana
 
Pamoja na hayo yote kuandikwa watu bado wataachwa Sana.Kuachwa Ni Jambo ambalo haliepukiki kbsa ila Ni suala la Muda tu.
Hii ni jamii, pengine kuna wadogo zetu wamejiunga na hawayafahamu haya na wapo kwenye hizo hali. Pengine sisi tumeshakomaa na kufahamu mchezo jinsi ulivyo.

Tusiwe wachoyo wa maarifa. Tuwe na akiba ya kufikiria pia pengine kunaweza kukawa na wadogo zetu hizi mbili tatu zinaweza kuwa na manufaa kwao.
 
Ktk dunia ya sasa ambapo ngono inathaminishwa na pesa, mapenzi hutakiwi kuyachukulia serious. Ingia kwenye mapenzi huku ukitenga asilimia atleast 25 kwamba kuna siku utaachwa,itakusaidia sana.

Kwani siku hizi kuachwa kitu cha kawaida,ndugu zangu Church/good guy pamoja na kujitoa kwa hali na mali bado wanaachwa huku wahuni wakikumbatiwa.

So kuachwa ni kitu cha kawaida sana siku hizi.
Tunatakiwa kuwaamshq good guys na kuwaambia wanawake nowadays sio special, wasiwape umuhimu sana.
 
Hii ni jamii, pengine kuna wadogo zetu wamejiunga na hawayafahamu haya na wapo kwenye hizo hali. Pengine sisi tumeshakomaa na kufahamu mchezo jinsi ulivyo.

Tusiwe wachoyo wa maarifa. Tuwe na akiba ya kufikiria pia pengine kunaweza kukawa na wadogo zetu hizi mbili tatu zinaweza kuwa na manufaa kwao.
Kabisa na ni lengo langu kubwa hili
 
Back
Top Bottom