Mwanaume, Ukiona mwanamke wako kaanza kukaa mbali nawe, fanya hivi…

Mke wa GSM aliolewa akiwa bikra. So emotional attachment ipo. Wanawake wakiwa na wanaume wengi , anakosa attachment.
Ulimsaidia kuitoa?? Wewe kaza fuvu hivyo hivyo, hakuna mwanamke wa kufanywa mjinga shauri yako
 
Pamoja na hayo yote kuandikwa watu bado wataachwa Sana.Kuachwa Ni Jambo ambalo haliepukiki kbsa ila Ni suala la Muda tu.
 
Yaani kila leo wanaume tunapeana somo juu ya hawa viumbe. Tatizo mapenzi mmeyachukulia serious sana
 
Hayo ni mawazo ya watu walioko katika ndoa changa! Kama mwanamme ukiona mkeo amenuna au amezira hujui jinsi ya kumbembeleza hujakomaa katika maswala ya ndoa! Wanawake ni kama watoto,ni kazi ndogo kuwarudisha katika mstari bila hata ya kutumia nguvu nyingi.
 
Mwanamke ni binadamu kama wewe, usimpe thamani kiasi hicho.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…