Kijana LOGICS
Senior Member
- Dec 16, 2023
- 140
- 536
Hahaha...naongezea, kula nusu, af nusu tunza mdanganye umekula yote akupe nyingine...
Ndio Nishakula hela za dada Yako sasaNa ndio maana vijana wengi sai Wanatumia muda mwingi kujiremba kama mabinti Kuwa smart kutafuta majimama ni true sio masihara Kuliko kutumia muda mwingi kutafuta kazi. Wapate ugali ili wawe wanaenda chooni mara kwa mara. GROW UP!
[emoji23][emoji23][emoji23]Kama mbinu mnazo malalamiko kila siku kuhusu wanawake ya nini, baada ya hizo mbinu hatutegemei kusikia tena mkidhalilisha wanawake, ni mwendo wa kukomoana tu mpaka kieleweke yani
Aliye pata nafasi ya kula hela alete stori, tujue ilikuwajeNi ngumu Mwanaume kula hela ya mwanamke Ila Kuna nyakati nafasi inapatikana ushauri ukipata hiyo nafasi we kula pesa.
Kuna wanawake wenye pesa Ila kichwani sifuri wengi wapo mijini hawa ni kula mbususu Zao na hela Zao hadi akili ziwakae Sawa.
Dunia imekua katili sana dhidi ya Mwanaume Ina bid tu revenge kwa tricky
Mchana nawapa mbinu tano za kuwinda na kunasa wanawake wenye pesa na kula hizo pesa
Shida inaanzia kwenye hiyo kazi unayoitafuta ndani ya serikali hii ya ShishiemuNa ndio maana vijana wengi sai Wanatumia muda mwingi kujiremba kama mabinti Kuwa smart kutafuta majimama ni true sio masihara Kuliko kutumia muda mwingi kutafuta kazi. Wapate ugali ili wawe wanaenda chooni mara kwa mara. GROW UP!
Una hela za kuliwa au ndio wale wale wa vocha,hujakaa sawa naumwa mara njaa inauma mara kodi ya nyumba mara gas imekata.Kama mbinu mnazo malalamiko kila siku kuhusu wanawake ya nini, baada ya hizo mbinu hatutegemei kusikia tena mkidhalilisha wanawake, ni mwendo wa kukomoana tu mpaka kieleweke yani
Sasa hapa huoni kama hilo swali mnatakiwa muulizwe ninyi wenye hizo mbinu za kula hela za wanawake, kwahiyo mmepanga mbinu ikiwa hamna uhakika hata kama hizo hela zenyewe wanawake wanazo au hawana, pathetic!!Una hela za kuliwa au ndio wale wale wa vocha,hujakaa sawa naumwa mara njaa inauma mara kodi ya nyumba mara gas imekata.
Sent from my TECNO CF7 using JamiiForums mobile app