Mwanaume ukiwa na kitu hiki hata kama handsome umenikosa


Pole mkuu vitu vingine ni mazoea na sio mbaya kutokua navyo
 
Hello,

Sijui kwanini siwezi kuvumilia hiki kitu, wewe unaweza kuona kawaida lakini kiukweli kwa upande wangu inaniboa.

Mwanaume nikimuona hata kama awe smati vipi Halafu kavaa saa ya mkononi haisomi majira aisee

Badilikeni
njoo kwangu basi ya kwangu inasoma
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…