charrote
JF-Expert Member
- Aug 11, 2017
- 1,848
- 4,146
- Thread starter
- #221
Saa, cheni, culture, kofia ama urembo wa aina yoyote mimi umenishinda kabisa achia mbali wallet! Nilijaribu kukaa na wallet hahaha tangu nilipo inunua sijawahi ifungua mpaka siku nikajisemea ngoja niifungue niwe viela leo nione hahaha naifungua ndio ina chanika kwa uchakavu na kukauka
Pole mkuu vitu vingine ni mazoea na sio mbaya kutokua navyo