Babe....Hello,
Sijui kwanini siwezi kuvumilia hiki kitu, wewe unaweza kuona kawaida lakini kiukweli kwa upande wangu inaniboa.
Mwanaume nikimuona hata kama awe smati vipi Halafu kavaa saa ya mkononi haisomi majira aisee
Badilikeni
Duh haya makubwa, sisi wewe vidole tu vya watoto tufanyaje!?[emoji1787][emoji1787]Mi nimeandika tu mkuu....mi kiukweli kipaumbele changu ni mkono wa mtoto
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] falafu kweli mumieHello,
Sijui kwanini siwezi kuvumilia hiki kitu, wewe unaweza kuona kawaida lakini kiukweli kwa upande wangu inaniboa.
Mwanaume nikimuona hata kama awe smati vipi Halafu kavaa saa ya mkononi haisomi majira aisee
Badilikeni
Unakutana wapi na watu wa staili hizo? Aisee...Hello,
Sijui kwanini siwezi kuvumilia hiki kitu, wewe unaweza kuona kawaida lakini kiukweli kwa upande wangu inaniboa.
Mwanaume nikimuona hata kama awe smati vipi Halafu kavaa saa ya mkononi haisomi majira aisee
Badilikeni
🙄🤐 Hapana Kwa kweliDuh haya makubwa, sisi wewe vidole tu vya watoto tufanyaje!?
Hello,
Sijui kwanini siwezi kuvumilia hiki kitu, wewe unaweza kuona kawaida lakini kiukweli kwa upande wangu inaniboa.
Mwanaume nikimuona hata kama awe smati vipi Halafu kavaa saa ya mkononi haisomi majira aisee
Badilikeni
Unafikiri ma-handsome boy wanakutaka Basi😊😊
Wewe ndio unajigonga kwao na unahitaji kunufaika Kutoka kwao, Ila wao hakuna watakachokipata kwako
Great thinker upo vizuri .
Sure hapa JF tunakufatilia Sana.Watu wanatofautiana Sana.
ATI mtu anaweza asimpende MTU Kwa sababu ya Kiatu au saa ambayo inaweza Kubadilishwa muda wowote.
Ni Sawa na Mwanaume aseme ATI anampenda Mwanamke kisa msuko fulani🤣🤣🤣
Jambo ambalo linaweza kufanyika muda wowote.
Zinaitwa Akili za kitoto
Mimi sipo huko .
Kusema kweli tokea nimeanza kutumia Simu sijawahi kuvaa saa ya mkononi.
Saa yangu ni simu
Ya kwangu inaenda sawa na TVYangu inaenda na radio kabisa..