Mwanaume uliyepo ndani ya ndoa kama huchezi mechi za nje eti kisa heshima kwa mkeo jitafakari mara mbili

Mwanamke anayechepuka kwa sababu ya kubadili ladha anakuwa na hulka ya umalaya,

Tunachepuka kwa kusababishiwa, niamini ukimpa mwanamke wako attention yako uwezekano wa kucheat Ni mdogo Sana au haupo kabisa,

Umenisikia wewe mwenye IQ ya bata
 
Asifiwe BWANA kwa kutuumba na mitizamo TOFAUTI.....

Utoe FEDHA za KUNYWA NA "MAJICHANO"....

Utoe FEDHA za "nyumba" ya WAGENI....

Utoe FEDHA za kumpa "BAKSHISHI".....

Utoe FEDHA ya NAULI arudi KWAKE.....

Uendelee "KUUTUNZA" kama MCHEPUKO....kumbuka unapokuwa kwenye NDOA na ukiwa mwenye KUJITAMBUA VYEMA basi USIRI utautanguliza...na hakuna SIRI YA "MICHEPUKO WENGI WA HOLELA"....

Right?!!!

Usisahau na kuweka FEDHA ya matibabu ya "GONO,CHLAMYDIA na GENITAL WARTS(marutu mizizi)🤣🤣🤣🤣

*******************

KUPANGA NI KUCHAGUA!
 
Mi ndo nimetolea dokezo wanaotaka kuingia kwenye ndoa kisa ngono wajue hali ni tofauti.

Kuna uwezekano ndani ya mwezi ukaishia kumkumbatia na kumbusu tu.
Tatizo wanao ona wanawake ni malaika ni wabishi sana na hawataki kuelewa
 
Mwanamke anayechepuka kwa sababu ya kubadili ladha anakuwa na hulka ya umalaya,

Tunachepuka kwa kusababishiwa, niamini ukimpa mwanamke wako attention yako uwezekano wa kucheat Ni mdogo Sana au haupo kabisa,

Umenisikia wewe mwenye IQ ya bata
Facts👍
 
Hakuna cha kusababishiwa wala nini. Acheni kutupakazia zambi
 
Tatizo unafanya ngono zembe ndio yote hayo.....alafu mwanaume ukijiamin na kujipenda wala hutumii hela kuwapata hawa watu nakuambia. Kwanza mwanaume ukijielewa wanawake wataona kutembea na wewe ni kujitengenezea CV nzuri
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Sio kweli hii mkuu, kihisia hatufananu na hawa ndgu zetu wanawake, kusema nao wanataman kubadili wanaume kama sisi huo ni uongo kabisa. Hawajaumwa hivo mtoa mada kasema ukweli kabisa libido kwa mwanaume ni juu kuliko mwanamke mzee. Na mwanamke anaweza date na mwanaume mmoja kwa muda mrefu tofauti na sie macho juu juu mda wote kila mtu unamtamani.
Izo statement zako zinaaply kwa wanawake wachache na ni aslimia ndogo tu.
 
Huu uchunguz wa woman kupend ngn umetoa WAP mana nimenyimwa win ya 3 hiyi[emoji26][emoji26][emoji26]
 
Tafuta mwanamke unae muamini mpambanishe na Baharia alafu leta majibu. Yaani mzee kama wewe uliweza kumvua chupi unazani upo wewe pekeyako yani.....? Kwa sababu wewe una mpini wa dhahabu au sio....? Sawa lkn imani yako itakuponya
hajui kutoa game kwao siyo big deal kabisa
 
Mwanamke anayechepuka kwa sababu ya kubadili ladha anakuwa na hulka ya umalaya,

Tunachepuka kwa kusababishiwa, niamini ukimpa mwanamke wako attention yako uwezekano wa kucheat Ni mdogo Sana au haupo kabisa,

Umenisikia wewe mwenye IQ ya bata
hivi kwanini anabishana na wewe mhusika
 
Na vipi ile sharia usizini nishaul na hapa
 
Tatizo unafanya ngono zembe ndio yote hayo.....alafu mwanaume ukijiamin na kujipenda wala hutumii hela kuwapata hawa watu nakuambia. Kwanza mwanaume ukijielewa wanawake wataona kutembea na wewe ni kujitengenezea CV nzuri
🤣🤣Ha ha ha ha sawa "nyakanga"....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…