Mwanaume una mguu laini, unavaa pensi. Unataka tukuelewe vipi?

Mwambie mwambie bana!!
 
Inaonekana una mguu soft mkuu[emoji23]
 
Ushauri,

Kila mtu ana jinsi yake ya kuishi na anaishi kulingana na matakwa yake, aamue kuvaa pensi au suruali hiyo ni juu yake na maamuzi yake madam havunji tu miiko ya kimaadili. Wewe kuwa na miguu iliyokomaa wapo watu wanaokuona una ugoko kama mkia wa mamba na hufai kuvaa pensi, ila wanakukaushia tu maana kila mtu anapambana na hali yake. Na huo ndiyo uanaume na si kuchunguzana

Hivi mtoto wa kiume mwenye sifa zote za kuitwa mwanaume, unaanzaje kuchunguza mguu wa mwanaume mwenzio tena rijali eti upo soft. Hayo si yakina dada utafanyaje wewe?

Unathaminisha kabisa mguu wa dume mwenzio akivaa pensi, mtakuja kupima na urefu wa zipu zao kabisa huko mnapoelekea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…