Mwanaume una mguu laini, unavaa pensi. Unataka tukuelewe vipi?

Mwanaume una mguu laini, unavaa pensi. Unataka tukuelewe vipi?

Kwahiyo huu wangu nao wa kishoga?? Duh
07d30a36046d4f464b3444d193454a50.jpg
Kabati limeonekana vizuri kuliko miguu au ndo lengo?
 
Ila kweli.....sasa mwanaume unakuwa na mguu hauna hata vinyweleo? Hata kovu? Kucha laiiini!😀😀
 
Ji gonge hata na jiwe mkuu upate kovu kwenye ukoko hapo , goti laini hivyo halina hata sugu mkuu
Weweeee...........m nna mguuu mgumuuu.....mixer makov,vidonda n.k
 
Back
Top Bottom