Mwanaume una mguu laini, unavaa pensi. Unataka tukuelewe vipi?

Mwanaume una mguu laini, unavaa pensi. Unataka tukuelewe vipi?

36feb149e5961e53af4a2a55a9780170.jpg
Kama ni zawadi nastahili, huu langu limepata comment nyingi sana, hahahaaa
 
Siku hizi kuna ongezeko la wanaume kuvaa pensi fupi
I
Unakuta msela ana guu la bia halafu laini hata kovu hana anavaa pensi ujue anaonekana kama shoga

Mwanaume rijali kama mimi mguu umekomaa na una nywele kibao ziwezi kuvaa pensi

Nyie masela mnaovaa pensi mbele ya kadamnasi na hiyo miguu yenu soft mnatuaibisha wanaume wenzenu mnakua kama mashoga bhana .[emoji41] [emoji41] [emoji41]
Kwangu mimi, uanaume siupimi kwa Pensi wala makovu, wala manyoya.... MAANA HIVYO VYOTE HATA MBUZI JIKE ANAVYO. Je,
Nakamilisha mahitaji ya kifamilia kama baba?

Maana makovu hata majambazi wanayo
 
Swala kama ni makovu miguu kama ya punda wa mikoani bado kuna mateja wanamambalanga wamikoani hamtii miguu na hawaogi hivyo wati wa hivylo nyie wa mkkoani mana matatizo ya Kiri??
 
Back
Top Bottom