Mwanaume una mguu laini, unavaa pensi. Unataka tukuelewe vipi?

Hahaha eti guu la bia halafu laini
 
Au unakuta kimembana kinoma,af juu ya magot,..ule kwel ni ushoga,nguo za wingereza zile,ndo asili yake,ni za mashoga,fashionista weng ni mashoga so tegemea nguo zao nying kua sokon
 
Aisee leo wadada mlie tu,naona miguu imetawala hapa,nipo nipo nangalia tu.
 
sasa si unaona kabisa mtoto mayai mtoto wa kishua huyo.....ugumu wa mguu utatoka wapi
Eeh mkuu napambana kivyangu kodi za hapa na pale,guu nyweleo kibao, nimetulizana kuutafakari mwaka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…