Mwanaume una mguu laini, unavaa pensi. Unataka tukuelewe vipi?

Mwanaume una mguu laini, unavaa pensi. Unataka tukuelewe vipi?

[emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28]

42a395303217449f68d6e9fbaf577ed0.jpg


Wakaka wa humu naona mnauanza mwaka kwa style, sio kwa kutuchekesha huku...LOL!
 
Kama hauna makovu au nywele nyingi basi uwe na hata donda ndugu then unapiga pensi ili kidonda kipate upepo.
 
Hahahahah jomoni endeleeni kutupia mapicha picha bwana..yaani mmejua kunichekesha leo hahahah
 
Siku hizi kuna ongezeko la wanaume kuvaa pensi fupi

Unakuta msela ana guu la bia halafu laini hata kovu hana anavaa pensi ujue anaonekana kama shoga

Mwanaume rijali kama mimi mguu umekomaa na una nywele kibao ziwezi kuvaa pensi

Nyie masela mnaovaa pensi mbele ya kadamnasi na hiyo miguu yenu soft mnatuaibisha wanaume wenzenu mnakua kama mashoga bhana .[emoji41] [emoji41] [emoji41]

Broo Kama hauna Miguu ya kuvalia Pensi Kaa Kimya Tu, Maana Kukomaa kwa miguu au kuwa na makovu na minywele kibao sio ishara ya uanaume bana.
Pensi Pensi Tu na linavaliwa kila mahali ili mradi uwe naweza ku-match nalo kwa mwonekano.
Kama maisha umepitia magumu afu umejwa na makovu niwewe peke yako.
Kuna siku nimevaa pensi nipo katika daladala nimekaa na mdada mmoja for sure aliniomba mawasiliano hadi kesho nawasiliana naye kisa tu.
Kapendezewa na miguu yangu nilivyovaa pensi.
Jamaa yangu mke wake hataki jamaa avae pensi akiwa peke yake maana anasema anaona wivu haswaaaa.
Broo pensi zitavaliwa tu Kwa namna yoyote.
Unaweza ukawa mgumu na bado ukawa kama shoga tu.
Na unaweza uka soft na bado ukawa mwanaume wa shoka vile vile.
Sasa kama nyumbani mtu anapetiwa vizuri na mke wake atashindwaje kuwa soft?
Sometimes Wanaume wasiozijua Ndoa Wanamatatizo na stress za Ubachela
 
kuna watu sijui wanaakil gani wanafikiri kuwa na makovu miguuni ndio uanaume achen akili za kijinga

kunamtu nilibishana nae kwa sabab kama hizi ananiambia et mwanaume haez akatumia dk 10 adi 15 anaoga m nkamjibu kuoga dk 1 sio uanaume uo ni uchafu

achen akili zilizoganda
 
Back
Top Bottom