Mwanaume unapata wapi ujasiri wa kumuoa Mwanamke mrefu kukuzidi?

Aisee
 
Umeeleza kitaalamu sana.

Sijui kama haya MABICHWA KOMWE ya humu yatakuewa!
 
Umenikumbusha,Kuna Mdada Flani Muda Umepita Kidogo Alitoa Mimba,Kisa ni Mimba Ya Mwanaume Mfupi.Akasema Siwezi zaa na Mwanaume Mfupi Mimi.
Akawa Na Uhusiano wa Mwanaume nikimkadiria 6'3 Feet hivi Huyo jamaa.Na yy alikuwa around 5'5 Hivi.
Cha ajabu Wamezaa Mtoto Mfupi,Huyo Mtoto Ni Kibinti sasa.sidhan Hata Kama anafika 5'0 urefu.

Kweli Karma Inafanya Kazi
 
Nilishawahi Kuwa Na Uhusiano Na Mwanamke Kanizid Kimo ingali Ni Kidogo,Akisimama Vibaya Ni Kama tuko sawa.Aliniheshimu,Alinipenda Alikuwa akiniambia Ananipendea Ufupi wangu,Na Nilikuwa nikimuuliza Kuhusu Height alikuwa Akisema haoni Kasoro yoyote Kwenye Urefu wangu yeye Anaona Ni sawa tu,Tena Hata huwa hafikirii kabisa Kabisa Ufupi Wangu.
Tunataniana,Ila sharti hakuna kuvaa High heels.
Ananitambulisha Kwa friends zake,Ingali Nilikuwa Insecure Because of My Height lakn Yy Hakujal,Aliniita Akiwa na rafk Zake.

Kilichonifanya niachane Na Huyo msichana Ni insecurity Yangu.Nilikuwa sijiamini Kabisa tukiwa Tunatembea,Nilihisi Kama Labda namkera,Hanipendi Labda ananitumia tu.Lakini Ni khofu Yangu tu Kumbe.Nikamuacha Eti Kwa Visingizio Fulani(Ingal Bado namkumba mpaka Leo)Lakin kwangu naona Sawa kwa sababu Nilikuwa Insecure Nikiwa Nae.

Naungana Na wewe Mtoa Mada.Kama mwanaume mfupi Kuwa Na Msichana Wa Kulingana Nae au Umempita Kidogo,Mtaheshimiana
Maisha yenyewe mafupi,Kuhusu Watoto Mungu Ndo Mpaji.Ila kikubwa Heshima Iwepo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…