Mwanaume Unapotaka kuoa zingatia hizi red flags

Mwanaume Unapotaka kuoa zingatia hizi red flags

Riskytaker

JF-Expert Member
Joined
Mar 14, 2024
Posts
568
Reaction score
2,522
1. Amechora tattoos. Red flag.
2. Ametoboa pua red flag.
3. Anavaa shanga 3+ kiunoni red flag.
4. Anakunywa pombe red flag.
5. Mpenda shughuli/vigodoro ni redu flag.
6. Haendi msikitni Wala kanisani red flag.
7. Ni muumuni wa twerking red flag.
8. Ana marafiki wa kiume wengi Red flag.
9. Round 4 za dakk 15+ hafiki kileleni red flag
10. Anavaa vikuku red flag.

Wanawake wengi wenye viashiria hapo juu ni pasua kichwa
 
Screenshot_20240531-221315.png
 
wakati tupo kwenye kikao tunakubaliana kuwa hatuoi wewe ulikuwa busy unachati na aneth manumbu wako!. ona sasa unavyoturudisha nyuma kuanza kutoa elimu kuwa ndoa ni utapeli ujambazi na ni kitu kisichomithirika!
 
tukivaa shanga mbili kishuka chini sio red flag🌚🌚🌚🌚
Hii sio red flag but inasisimua wkt wa Game kwa anaejua kuzichezea,sometimes kuna wadada familia zao yeye ndio wakike pekee so anakua amekuzwa na kaka zake usitegemee atakua namarafiki wakike wengi,my take kuona tu haitoshi go far and chunguza zaidi even anakoishi pia utajua mengi zaidi
 
Hio namba 6 haijakaa poa,,,,,,wengine kwenda huko misikitini na makanisani ni kwa ajili ya kuficha makucha yao tu,,sasa we shoboka kisa huyo mtu ni mhudhuriaji wa huko
1.amechora tattoos. Red flag.

2.ametoboa pua red flag.
3.Anavaa shanga 3+ kiunoni red flag.
4.anakunywa pombe red flag.
5. Mpenda shughuli/vigodoro ni redu flag.
6.haendi msikitni Wala kanisani red flag.
7.ni muumuni wa twerking red flag.
8.ana marafiki wa kiume wengi Red flag.

9.Round 4 za dakk 15+ hafiki kileleni red flag
10.anavaa vikuku red flag.

WAnawake wengi wenye viashiria hapo juu ni pasua kichwa
 
1.amechora tattoos. Red flag.

2.ametoboa pua red flag.
3.Anavaa shanga 3+ kiunoni red flag.
4.anakunywa pombe red flag.
5. Mpenda shughuli/vigodoro ni redu flag.
6.haendi msikitni Wala kanisani red flag.
7.ni muumuni wa twerking red flag.
8.ana marafiki wa kiume wengi Red flag.

9.Round 4 za dakk 15+ hafiki kileleni red flag
10.anavaa vikuku red flag.

WAnawake wengi wenye viashiria hapo juu ni pasua kichwa
11. unamwita anaitikia whooozaaaa! red flag
 
Back
Top Bottom