Mwanaume Unapotaka kuoa zingatia hizi red flags

Mwanaume Unapotaka kuoa zingatia hizi red flags

Kwa kifupi bila kupepesa macho hao wenyr sifa hizo ni majini..sasa sijajua binadamu unaanzishaje mahusiano na majini..hayo majitu hayafai kabisa ni takataka
 
1.amechora tattoos. Red flag.

2.ametoboa pua red flag.
3.Anavaa shanga 3+ kiunoni red flag.
4.anakunywa pombe red flag.
5. Mpenda shughuli/vigodoro ni redu flag.
6.haendi msikitni Wala kanisani red flag.
7.ni muumuni wa twerking red flag.
8.ana marafiki wa kiume wengi Red flag.

9.Round 4 za dakk 15+ hafiki kileleni red flag
10.anavaa vikuku red flag.

WAnawake wengi wenye viashiria hapo juu ni pasua kichwa
Tattoos? Kwel bongo nyoso😁
Kuna madem kibao hawana tattoos ila wanamaovu kibao kwny jamii,
Sema watanzania tuna ushamba wetu maana ukiona mtu anatattoo tayar tunamtizama kama mtu mwny maovu, kibaka,jambazi,muhuni,
Alf wakat huo huo tunasahau kama wabunge hawana tattoo na suti wanavaa kabisa
Lakin wana mambo meusi kinoma.
 
Tattoos? Kwel bongo nyoso😁
Kuna madem kibao hawana tattoos ila wanamaovu kibao kwny jamii,
Sema watanzania tuna ushamba wetu maana ukiona mtu anatattoo tayar tunamtizama kama mtu mwny maovu, kibaka,jambazi,muhuni,
Alf wakat huo huo tunasahau kama wabunge hawana tattoo na suti wanavaa kabisa
Lakin wana mambo meusi kinoma.
we zombie haujui😂
 
Wale so called marafiki ni reserve boyfriends waiting for zamu zao
🤣🤣🤣wazee wa mipira mibovu,,,,demu kazinguana na jamaa yake anakuja kwa hao jamaa na stress zake na wengi wanavyokua emotional jamaa hawalazi damu utasikia twende out ukapuguze mawazo na kama dem anapiga kinywaji akishalamba vichupa kadhaa anaenda kunyanduliwa na huyo jamaa,,,,haya mambo niliona sana enzi za chuo,,ogopa sana demu wako akiwa na kampani za wanaume halafu akwambie ni marafiki zake , wengi wanakulana kimasihara hao
 
11. unamwita anaitikia whooozaaaa! red flag
12. Hana kazi lkn amepanga chumba kimejaa mazaga. Red flag
13. Amehama kwa wazazi wake anajitegemea wakati wazaz wapo mji huo huo. Red flag
14. Anapenda vitu vya bei mbaya kama Iphone, Range, Nguo za Woolworth, Lunch KFC mwanawane utafulia kama unabisha muulize Mond kwa TANNASHA au Konde kwa KAJALA.
15. Kazi iendelee
 
Pombe ni kwa ajili ya wanaume tu???
pombe kunywa ukiwa na mtu wako au upo nyumbani haipendezi mwanamke kulewa tena uo bar peke yako maana wote tunajua madhara ya pombe ikishapanda kichwani..
unajua nyie wanawake ndio familia yenyewe!
 
Back
Top Bottom