Mwanaume Unapotaka kuoa zingatia hizi red flags

Mwanaume Unapotaka kuoa zingatia hizi red flags

Sina huyo mtu unaemuita mtu wako nishindwe kujiburudisha nafsi yangu kisa????

Tena ushantia hamu ya bia hapa
kama ni wa kaskazini sikulaumu maana hiyo ni desturi ya watu wa huko na wanajua kuzimudu shida ni hawa wa dada wa kimjinimjini wanavamia vitu na life style huku hawajui..
 
Binafsi wanawake wenye tattoo nawakubali sana.
 
kama ni wa kaskazini sikulaumu maana hiyo ni desturi ya watu wa huko na wanajua kuzimudu shida ni hawa wa dada wa kimjinimjini wanavamia vitu na life style huku hawajui..
Sina uhusiano wowote na kaskazini wala, furaha yangu ndio kipaumbele.....siwezi acha kwenda kushtua maini na nnapesa zangu kisa ni red flag kwa watu.
 
1.amechora tattoos. Red flag.

2.ametoboa pua red flag.
3.Anavaa shanga 3+ kiunoni red flag.
4.anakunywa pombe red flag.
5. Mpenda shughuli/vigodoro ni redu flag.
6.haendi msikitni Wala kanisani red flag.
7.ni muumuni wa twerking red flag.
8.ana marafiki wa kiume wengi Red flag.

9.Round 4 za dakk 15+ hafiki kileleni red flag
10.anavaa vikuku red flag.

WAnawake wengi wenye viashiria hapo juu ni pasua kichwa
Labda wako nikipanyaroad wanaume kama wako kuoa ngumu nawakiona ni umalaya tu mnajiona,mnakiherehere mnajifanya mnajua kila kitu
 
Hela si yako kula bia mama 😂

images (11).jpeg


Hilo povu hadi vinyweleo vinasimama.
 
Mi hao wote napita nao tuu..
Kuhusu kuoa nasubiri mama anitafutie katoto kamoja ka form 4 huko mkwichu ndani ndani.
Unapata mtoto siled kwa laki 7 tuu
 
Back
Top Bottom