Mwanaume Unapotaka kuoa zingatia hizi red flags

Mwanaume Unapotaka kuoa zingatia hizi red flags

Mimi ni baadhi ya pombe sio zote. Wine ndo zinanifanya niwe hivyo. Lakini pia inategemea na mazingira...kama hakuna mtu wa kunila haziji..nakuwa sawa tu
NJOO basi nikukule ili zije
 
Kuna
1. Amechora tattoos. Red flag.
2. Ametoboa pua red flag.
3. Anavaa shanga 3+ kiunoni red flag.
4. Anakunywa pombe red flag.
5. Mpenda shughuli/vigodoro ni redu flag.
6. Haendi msikitni Wala kanisani red flag.
7. Ni muumuni wa twerking red flag.
8. Ana marafiki wa kiume wengi Red flag.
9. Round 4 za dakk 15+ hafiki kileleni red flag
10. Anavaa vikuku red flag.

Wanawake wengi wenye viashiria hapo juu ni pasua kichwa
Kuna demu wangu nilikua nae kitambo xo apo juzi kati nimekutana nae tena dah ile kuingia nae nakuta kavaa shanga kiunoni dah nikamchukua na kwenda kumpima bahati nzuri alikua frexh ila amenikata stimu kabisaa
 
Ni kweli kabisa, ila kwa aina ya malezi yetu kibngo bongo ukichora tatoo wewe ni shindikanaa, umehasi malezi uliyopewa utotoni na wazazi wako.

Ni sawa na ushoga/usagaji kwa malezi yetu ni ufuska na haramu. Ila kuna mataifa ni ishu ya kawaida kabisa.

Je, hapa kwetu kwa malezi yetu mtu akiwa shoga/msagaji tuone yupo sahihii?.

Tutafakari.
Kwahiyo mtu akiwa na tottoo hapa bongo anakuwa shoga na msagaji?
 
bikra tutawapata wapi
1. Oa mwanamke kwao wazaz wako strict
Basi na wewe utaindeleza ile strict Ness.

2. Hakikisha unamtoa bikira mwenyewe

3. Hakikisha hapendi kukaa bar wala kunywa

4. Hakikisha ni mpole sio domo kaya.

5. Hakikisha anakupenda
 
Back
Top Bottom