Mwanaume Unapotaka kuoa zingatia hizi red flags

Mwanaume Unapotaka kuoa zingatia hizi red flags

Hebu mtuache jamani watu tujipe raha, haya maisha tunateseka tukipata kichance cha kujipa raha ndio hivi tena maneno yanaibuka tuacheni jamani ....
Nimewai kua na mpenzi anakunya only pombekali na alikua ana drive vizuri mpaka ana Ni drop sikuwai kuona Kama pombe Ni tatizo kwa wanawake baadhi Ila 100% ya jinsia KE pombe imewaletea matatizo..
 
1. Amechora tattoos. Red flag.
2. Ametoboa pua red flag.
3. Anavaa shanga 3+ kiunoni red flag.
4. Anakunywa pombe red flag.
5. Mpenda shughuli/vigodoro ni redu flag.
6. Haendi msikitni Wala kanisani red flag.
7. Ni muumuni wa twerking red flag.
8. Ana marafiki wa kiume wengi Red flag.
9. Round 4 za dakk 15+ hafiki kileleni red flag
10. Anavaa vikuku red flag.

Wanawake wengi wenye viashiria hapo juu ni pasua kichwa
Lakini jamani mbona hao ndio wanakuwa na mbususu mnato na tamu....argghhh mie naoa hao hao bwana. Relationships are about sex...goal achia halland
 
Lakini jamani mbona hao ndio wanakuwa na mbususu mnato na tamu....argghhh mie naoa hao hao bwana. Relationships are about sex...goal achia halland
Ndio maana nakupendaga we huwa ni mkweli sana.

Wanaume wengine full unafiki kujifanya mnaoa tabia mwisho wa siku mke anawekwa tu ndani kama kochi halafu anahang out na hao wenye tattoo, sa huu si us£ng£ jamani umeoa au umepata mlinzi wa nyumba yako.
 
Kwenye kikao cha juzi mmesema mnapenda shanga....tukazinunua...leo mnasema ni red flag...kuweni serious basi
Muendelee kuzivaa tu achaneni na hawa watoto ambao wapo likizo shule zimefungwa sasa wanaiba simu za mama zao na kuja kupost ujinga humu.
 
Nilikua na demu ana tattoo mbili (mkononi na kwenye victoria), amebleach nywele, ametoboa pua... Tulivoachana alisema hajawahi kunipenda hata kidogo ila yeye ana tamaa ya m.boo na ikatokea tu yangu baada ya kuijaribu ikamshawishi kuendelea kuitumia. Namuonea huruma atakaemuoa
1. Amechora tattoos. Red flag.
2. Ametoboa pua red flag.
3. Anavaa shanga 3+ kiunoni red flag.
4. Anakunywa pombe red flag.
5. Mpenda shughuli/vigodoro ni redu flag.
6. Haendi msikitni Wala kanisani red flag.
7. Ni muumuni wa twerking red flag.
8. Ana marafiki wa kiume wengi Red flag.
9. Round 4 za dakk 15+ hafiki kileleni red flag
10. Anavaa vikuku red flag.

Wanawake wengi wenye viashiria hapo juu ni pasua kichwa
 
1. Amechora tattoos. Red flag.
2. Ametoboa pua red flag.
3. Anavaa shanga 3+ kiunoni red flag.
4. Anakunywa pombe red flag.
5. Mpenda shughuli/vigodoro ni redu flag.
6. Haendi msikitni Wala kanisani red flag.
7. Ni muumuni wa twerking red flag.
8. Ana marafiki wa kiume wengi Red flag.
9. Round 4 za dakk 15+ hafiki kileleni red flag
10. Anavaa vikuku red flag.

Wanawake wengi wenye viashiria hapo juu ni pasua kichwa
Mwa J ana 1-10 na bado tunapendana, juzi nilimuomba msamaha baada ya kugombana sana nilipo kumkuta na kipande kimoja cha condom kwenye mkoba.
Tukasuluhisha na saizi tupo vizuri kabisa mazee...😊
 
Back
Top Bottom