Mwanaume Unapotaka kuoa zingatia hizi red flags

Mwanaume Unapotaka kuoa zingatia hizi red flags

Tattoos? Kwel bongo nyoso😁
Kuna madem kibao hawana tattoos ila wanamaovu kibao kwny jamii,
Sema watanzania tuna ushamba wetu maana ukiona mtu anatattoo tayar tunamtizama kama mtu mwny maovu, kibaka,jambazi,muhuni,
Alf wakat huo huo tunasahau kama wabunge hawana tattoo na suti wanavaa kabisa
Lakin wana mambo meusi kinoma.
Ni kweli kabisa, ila kwa aina ya malezi yetu kibngo bongo ukichora tatoo wewe ni shindikanaa, umehasi malezi uliyopewa utotoni na wazazi wako.

Ni sawa na ushoga/usagaji kwa malezi yetu ni ufuska na haramu. Ila kuna mataifa ni ishu ya kawaida kabisa.

Je, hapa kwetu kwa malezi yetu mtu akiwa shoga/msagaji tuone yupo sahihii?.

Tutafakari.
 
1. Oa mwanamke kwao wazaz wako strict
Basi na wewe utaindeleza ile strict Ness.

2. Hakikisha unamtoa bikira mwenyewe

3. Hakikisha hapendi kukaa bar wala kunywa

4. Hakikisha ni mpole sio domo kaya.

5. Hakikisha anakupenda
 
Back
Top Bottom