Riskytaker
JF-Expert Member
- Mar 14, 2024
- 568
- 2,522
hawako serious hata kidogo imagine hiz kitu tutavaaa wapiKwenye kikao cha juzi mmesema mnapenda shanga....tukazinunua...leo mnasema ni red flag...kuweni serious basi
Hii sio red flag but inasisimua wkt wa Game kwa anaejua kuzichezea,sometimes kuna wadada familia zao yeye ndio wakike pekee so anakua amekuzwa na kaka zake usitegemee atakua namarafiki wakike wengi,my take kuona tu haitoshi go far and chunguza zaidi even anakoishi pia utajua mengi zaiditukivaa shanga mbili kishuka chini sio red flag🌚🌚🌚🌚
1.amechora tattoos. Red flag.
2.ametoboa pua red flag.
3.Anavaa shanga 3+ kiunoni red flag.
4.anakunywa pombe red flag.
5. Mpenda shughuli/vigodoro ni redu flag.
6.haendi msikitni Wala kanisani red flag.
7.ni muumuni wa twerking red flag.
8.ana marafiki wa kiume wengi Red flag.
9.Round 4 za dakk 15+ hafiki kileleni red flag
10.anavaa vikuku red flag.
WAnawake wengi wenye viashiria hapo juu ni pasua kichwa
11. unamwita anaitikia whooozaaaa! red flag1.amechora tattoos. Red flag.
2.ametoboa pua red flag.
3.Anavaa shanga 3+ kiunoni red flag.
4.anakunywa pombe red flag.
5. Mpenda shughuli/vigodoro ni redu flag.
6.haendi msikitni Wala kanisani red flag.
7.ni muumuni wa twerking red flag.
8.ana marafiki wa kiume wengi Red flag.
9.Round 4 za dakk 15+ hafiki kileleni red flag
10.anavaa vikuku red flag.
WAnawake wengi wenye viashiria hapo juu ni pasua kichwa
tena kama anaenda kabisa bar kukaa na kuywaa kimbia sana hadi miguu ifike kichwani usigeuke nyumba..Dah wangu ana 4 red hatari sana
Pombe ni kwa ajili ya wanaume tu???ogopa dem
tena kama anaenda kabisa bar kukaa na kuywaa kimbia sana hadi miguu ifike kichwani usigeuke nyumba..
Wale so called marafiki ni reserve boyfriends waiting for zamu zaoHapo kwenye marafiki wengi wakiume wanajidai Yule mkaka ni rafiki yangu tu, kumbe analiwa kimasihara. Wanakuaga waongo hao.