Mwanaume unaweza kukubali mkeo aoshwe miguu na kusuguliwa kucha na vijana wengine?

Hivi huwezi kujisugua mwenyewe? Samahani lakini?
Naweza sana na kila nikioga lazima niiname kujisugua kucha za miguuni na kisigizo nakisugua na jiwe lile jeusi.

Issue inakuja kwenye kuchambuliwa kucha, kuminywaminywa miguu na kupakwa rangi/hina.
Kuhudumiwa kuna raha yake.
 
Huwa najiuliza hawa wadau wana mioyo ya aina gani aisee ?
 
[emoji23][emoji23][emoji23]sasa utajuaje si anaenda kimya kimya
Kuna akina siye wengine huwa hatudanganywi wala hatupendi kudhuru tuwapendao, nitajua tu na nitampa onyo mara moja asiponisikiliza basi kuna mtu anaemfaa zaidi kumsikiliza ni kheri wakaish pamoja.
 
Naweza sana na kila nikioga lazima niiname kujisugua kucha za miguuni na kisigizo nakisugua na jiwe lile jeusi.

Issue inakuja kwenye kuchambuliwa kucha, kuminywaminywa miguu na kupakwa rangi/hina.
Kuhudumiwa kuna raha yake.
Kwa mitego hiyo unajikuta unarusha kwanza ki1 kisha zoezi linaendelea
 
Ukipita mwenge pale vidada vinaoshwa vimepanua mapaja rangi za chupi zinaonekana wale jamaa watakuwa wanasuuza sana
 
Siku nimkate huyu mwanaume anayetaka kumsugua mke wangu mguu,atajuta.hayo mambo ya pwani siku watu wa kanda ya ziwa dhubutu tukukamate
 
Mimi huwa napaka rangi tu, kuosha miguu hapana.
Hongera mana nahisi hii michezo ilianzia huko,kutoka kupaka mpaka kuosha miguu kabisa.

Siku hizi pia kuna saluni za kiume ukienda kunyoa tu unaoshwa kichwa vizuri na wadada na kufutwa maji ila najua badae kutakua na mabadiliko.
 
Siku nimkate huyu mwanaume anayetaka kumsugua mke wangu mguu,atajuta.hayo mambo ya pwani siku watu wa kanda ya ziwa dhubutu tukukamate
Wote napigia hapo hapo kwanza mana sio tabia nzuri,afu wengine wanatembelewa mpaka nyumbani wewe ukiwa kazini mama anaoshwa miguu kwenye sebule yako🤔
 
Wote napigia hapo hapo kwanza mana sio tabia nzuri,afu wengine wanatembelewa mpaka nyumbani wewe ukiwa kazini mama anaoshwa miguu kwenye sebule yako[emoji848]
Mkuu mi nitamjeruhi siwezi kumuacha salama
 
I can't complicate like this way,nitaanza kukomplicate kuhusu wanawake siku nitakapowaelewa kuwa wao huwa wanataka nini kwa wanaume,maana kumuchunga mwanamke ni sawa na kuchunga bahari eti watu wasivue samaki,maana ukilinda hapa,kule lazima wavue tu.

Mkeo utamzuia kuoshwa miguu sijui kusuguliwa kwa lengo la kumlinda asiliwe,utakuja mkuta kaliwa na bodaboda,shamba boy,au mtu yeyote,wanaume wenzangu naomba mtambue kuwa mnapowaowa hao wake zenu jueni kuwa mnawakuta wakiwa na meno 32 nikimaanisha ni watu wazima na wana maamuzi yao binafsi,sasa yanini kuhangaina nao kivile?


Sent from my TECNO KB7j using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…