Kasie
Platinum Member
- Dec 29, 2013
- 22,379
- 41,294
Naweza sana na kila nikioga lazima niiname kujisugua kucha za miguuni na kisigizo nakisugua na jiwe lile jeusi.Hivi huwezi kujisugua mwenyewe? Samahani lakini?
Issue inakuja kwenye kuchambuliwa kucha, kuminywaminywa miguu na kupakwa rangi/hina.
Kuhudumiwa kuna raha yake.