Muuza simu used
JF-Expert Member
- Aug 23, 2017
- 4,393
- 7,074
Imagine mwanaume upo bar unakula bata kama kawaida na kuwalipia marafiki waliokuzunguka pia, lakini kuna sehemu umetelekeza Mtoto damu yako kabisa na hujui anakula nini, anavaa nini anaishije?
Kweli kabisa unaweza kwenda kitandani ukalala usingizi kabisa na huku umetelekeza damu yako? Mwanaume usikubali kwa gharama yeyote kupoteza damu yako bila kujali changamoto za wanawake wakorofi.