Mwanaume unawezaje kuishi kwa amani ukijua kuna mtoto umemtelekeza sehemu?

Mwanaume unawezaje kuishi kwa amani ukijua kuna mtoto umemtelekeza sehemu?

Kwani mwanamke unawezaje kuishi kwa amani wakati umekimbia na mtoto wala hutaki baba yake ajue yuko wapi?
Mwambie huyu jamaa naona anaongea tu kipuuzi bila kujua haya mahusiano na Hawa wanawake ni watu wabaya sana na wanatukomoa sana sio Africa tu Dunia nzima wanaume tunakomolewa
 
Wanawake wenyewe ndio chanzo chakutelekezewa mtoto.wanaume wengi hawapendi sana malumbano yasiyo na maana kwahiyo kama umezaa na mtu alafu anakuja kukuletea kelele mtu unaona bora ukae zako pembeni kiroho safi.Haya mambo naamini sio wanaume wote wanafanya kwa makusudi ila inawalazimu.
 
Back
Top Bottom