Mwanaume unayehitaji sana mtoto..

Ukifika hatua mtoa tangazo amepunguza masharti na vigezo kuwa anahitaji mwanaume awe tu na SPERMS🤗

Hapo ndo tutaanza kulichukulia kwa umakini hili tangazo,mpaka hapa bado mtoa Tangazo aendelee kupigwa one night stand za hapa na pale ili kuuweka uchi active na kutokusahau baadhi ya staili!!!! 31yrs bado mdogo sana kuzaa.
 
Nina sifa zote kasoro mkoa nilipo. Daaaah, ngoja nifanye mpango wa uhamisho fasta
 
All the best
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…