Mwanaume unayehitaji sana mtoto..

Mwanaume unayehitaji sana mtoto..

nimekuwa sasahivi nakuahidi hakuna tukio utapigwa funguo moyo nizame, usiwe na choyo utanifanya poyoyo!.. ntakupenda kama nyuki apendavyo asali yake...🥰
sema neno uniponye
Aaah we!
 
Dada Mungu akupe sawa sawa na mahitaji ya moyo wako ikiwezekana na kuzidi

But Makosa Yale Yale yaliyokufikisha 3rd floor bila mtoto wala mahusiano ya kueleweka ndyo unaendelea nayo , Tukutane 40 when life begin ....
Aiseee 🤣 🤣 🤣 🤣
 
Kwa umri uliokuwa nao bado hujapata somo, masharti/vigezo ulivyoweka bado ni changamoto.

Inasikitisha licha ya umri kusonga lakini bado ndoa siyo kipaumbele kwako.
 
Habari zenu jmn..

Natafuta mwanaume wa kuzaa nae&kulea wote kwa hiari

Mi ni KE, miaka 31,
mrefu 1.67m,maji ya kunde, mwili size medium,
Elimu - post graduate,Kazi-mwajiriwa
Kimaisha ninajitegemea na najipenda kama mwanamke
Sijaolewa,sijazaa, sina HIV,

Nahitaji sana mtoto wa jinsia yoyote na Baba mtoto ambaye naye anahitaji pia mtoto na ana hiari tulee wote kijana/binti yetu,

Ninachopenda
ME, umri zaidi ya miaka 40 tu,
Uwe single/married/divorced its okay..tutazungumza
Mwonekano uwe Mrefu, mweupe(mweusi hapana), uwe msafi/unajipenda na unajiweza kimaisha,Kielimu minimum ni degree, usiwe na HIV,

Ndoa kwa sasa hapana, kipaumbele ni mtoto bila masharti ya jinsia ya mtoto,
Mkoa Dar,Moro/Dom

Zingatia sifa nnazotaka na ukiridhia za kwangu karibu tuongee mengine via email
theroyalteawithjam@gmail.com
Yaan nimekuzidi cm moja tu??
Mkuu endelea kuwasaka wana kwa fasi kama ni kuzaa tu watakuja hadi uvunguni utawafukuza mwenyewe kabisa..
Kama ulivyonibarikia PM yangu na ile pisi yako basi na mimi soon nakudondokea PM nakupostia bonge la mwamba hapo

Shida hujasema kabila tu..
 
Habari zenu jmn..

Natafuta mwanaume wa kuzaa nae&kulea wote kwa hiari

Mi ni KE, miaka 31,
mrefu 1.67m,maji ya kunde, mwili size medium,
Elimu - post graduate,Kazi-mwajiriwa
Kimaisha ninajitegemea na najipenda kama mwanamke
Sijaolewa,sijazaa, sina HIV,

Nahitaji sana mtoto wa jinsia yoyote na Baba mtoto ambaye naye anahitaji pia mtoto na ana hiari tulee wote kijana/binti yetu,

Ninachopenda
ME, umri zaidi ya miaka 40 tu,
Uwe single/married/divorced its okay..tutazungumza
Mwonekano uwe Mrefu, mweupe(mweusi hapana), uwe msafi/unajipenda na unajiweza kimaisha,Kielimu minimum ni degree, usiwe na HIV,

Ndoa kwa sasa hapana, kipaumbele ni mtoto bila masharti ya jinsia ya mtoto,
Mkoa Dar,Moro/Dom

Zingatia sifa nnazotaka na ukiridhia za kwangu karibu tuongee mengine via email
theroyalteawithjam@gmail.com
Natafuta WA kuzaa nae mwanamke ila naona vigezo vya umri nimeshindwa. Hata ungesema above 30 nisingekizi pia sio mweupe kwenye urefu nahisi ungenifikiria niko 173 cm . Kuhusu swala la elimu pia pengine ungenirudisha shule
 
Mkuu ujibu email zetu , ucje ukatukubal 6 wote kwa pamoja tukupe mimba , mtoto wa mmoja atae wah alelewe na bab 6
Mwanamke ni mtaji tosha na kwanza akawa mjanja kwanza akishatarget kuwa uwe na degree Mana anajua kwa kiwango icho utakuwa unacho something.
Wakiwa hata mia anawachuna yaani akisema kuwa ana shida ya alfu 20 kwa watu mia anayo 2M , assume anawapiga vizinga kwa muda wa mwezi mmoja ama Kila baada ya mwezi mmoja , wastani anapata kipato cha ziada. Mwanamke anapenda mno kula hela ya mwanaume na huwa wanaila na furaha ya ajabu mno. Hata awe na trillion mia tano bank Ila ukampatia ten lako analikubali mno na anaona kuwa Lina thamani,.
Kuna muuza mahindi choma bodaboda hataki kuzaa nao .

Wanawake wanajua mno trading, wanajua to buy low and sell high or
Sell high and buy low
 
Back
Top Bottom