Mwanaume unayehitaji sana mtoto..

Mwanaume unayehitaji sana mtoto..

Habari zenu jmn..

Natafuta mwanaume wa kuzaa nae&kulea wote kwa hiari

Mi ni KE, miaka 31,
mrefu 1.67m,maji ya kunde, mwili size medium,
Elimu - post graduate,Kazi-mwajiriwa
Kimaisha ninajitegemea na najipenda kama mwanamke
Sijaolewa,sijazaa, sina HIV,

Nahitaji sana mtoto wa jinsia yoyote na Baba mtoto ambaye naye anahitaji pia mtoto na ana hiari tulee wote kijana/binti yetu,

Ninachopenda
ME, umri zaidi ya miaka 40 tu,
Uwe single/married/divorced its okay..tutazungumza
Mwonekano uwe Mrefu, mweupe(mweusi hapana), uwe msafi/unajipenda na unajiweza kimaisha,Kielimu minimum ni degree, usiwe na HIV,

Ndoa kwa sasa hapana, kipaumbele ni mtoto bila masharti ya jinsia ya mtoto,
Mkoa Dar,Moro/Dom

Zingatia sifa nnazotaka na ukiridhia za kwangu karibu tuongee mengine via email
theroyalteawithjam@gmail.com
ID yako ya zamani ni ipi? mambo ya kuja pm mara uniambie gesi imeisha, mjomba kameza shoka, ukute ww ni dume ila unajifanya mdada Destinyyy
 
Hataki kilaza na hicho ni kipimo chake Cha IQ kitu ambacho siyo sahihi.
Kuna waliopata first class secondary schools wakachagua kusomea professional course flani mfano urubani, air traffic control, kwenda jeshini, e.t.c.
Akina sisi hapa Ifunda ilitutengenezea njia kuendelea na mambo mengine.
 
Back
Top Bottom