Mwanaume unayehitaji sana mtoto..

Mwanaume unayehitaji sana mtoto..

Hypergamy is baked into the female brain. It works ruthlessly and swiftly. If she sees a better option, she won't hesitate to jump from her current branch to a higher branch.
 
Ninachopenda
ME, umri zaidi ya miaka 40 tu,
Uwe single/married/divorced its okay..tutazungumza
Mwonekano uwe Mrefu, mweupe(mweusi hapana), uwe msafi/unajipenda na unajiweza kimaisha,Kielimu minimum ni degree, usiwe na HIV,
Time is a good teacher, descriptions zitapungua tu
 
Sema wewe huenda ni mweupe , mimi weupe siwapendi
 
Kuna mtu anauza mbegu - akatoe upandikize ila hataki umjue wala yeye asikujue ili huyo mtoto awe wa kwako binafsi.
 
Shida mnabadilikaga nyie mambo ya kuanza kupelekana ustawi wa jamii

Saa hizi unasema vizuri tu kwamba ni hiari kulea baadae uanze kumuendea jamaa kwa mkewe kuwa hatumi matunzo

Otherwise it's a good deal
Na watu wa ustawi walivyo na sifa sasa..
 
Mwanamke ni mtaji tosha na kwanza akawa mjanja kwanza akishatarget kuwa uwe na degree Mana anajua kwa kiwango icho utakuwa unacho something.
Wakiwa hata mia anawachuna yaani akisema kuwa ana shida ya alfu 20 kwa watu mia anayo 2M , assume anawapiga vizinga kwa muda wa mwezi mmoja ama Kila baada ya mwezi mmoja , wastani anapata kipato cha ziada. Mwanamke anapenda mno kula hela ya mwanaume na huwa wanaila na furaha ya ajabu mno. Hata awe na trillion mia tano bank Ila ukampatia ten lako analikubali mno na anaona kuwa Lina thamani,.
Kuna muuza mahindi choma bodaboda hataki kuzaa nao .

Wanawake wanajua mno trading, wanajua to buy low and sell high or
Sell high and buy low
Mkuu umejua kutembea kwenye nyuzi (perfect sniper entry)
 
Habari zenu jmn..

Natafuta mwanaume wa kuzaa nae&kulea wote kwa hiari

Mi ni KE, miaka 31,
mrefu 1.67m,maji ya kunde, mwili size medium,
Elimu - post graduate,Kazi-mwajiriwa
Kimaisha ninajitegemea na najipenda kama mwanamke
Sijaolewa,sijazaa, sina HIV,

Nahitaji sana mtoto wa jinsia yoyote na Baba mtoto ambaye naye anahitaji pia mtoto na ana hiari tulee wote kijana/binti yetu,

Ninachopenda
ME, umri zaidi ya miaka 40 tu,
Uwe single/married/divorced its okay..tutazungumza
Mwonekano uwe Mrefu, mweupe(mweusi hapana), uwe msafi/unajipenda na unajiweza kimaisha,Kielimu minimum ni degree, usiwe na HIV,

Ndoa kwa sasa hapana, kipaumbele ni mtoto bila masharti ya jinsia ya mtoto,
Upatikane Mikoa ya Dar,Moro au Dom only

Zingatia sifa zote nnazotaka na ukiridhia za kwangu karibu tuongee mengine via email
theroyalteawithjam@gmail.com
Vigezo ninavyo,tatizo siyo mweupe,nimeoa,mtoto ataitwa kwa majina yangu,nitamuhudumia kwa kila kitu,wewe utaishi nae,meseji na simu za kila mara sitaki,nitakutafuta mimi,kama upo tayari DM.
NB:Baada ya mtoto kufikisha miaka 3,DNA test lazima.
 
Vigezo vyote ninavyo. Ila kwenye kuweza kutungisha mimba sina uhakika sometime mashine inagoma hata kwenye mteremko inazima. Naona nozzle haitupi mafuta .

Hapo unanisaidiaje
 
Ukipata wa kuzaa naye hapa jf Azizi ki wataenda kuombewa naye amzalishe Hamisa 😂
 
Habari zenu jmn..

Natafuta mwanaume wa kuzaa nae&kulea wote kwa hiari

Mi ni KE, miaka 31,
mrefu 1.67m,maji ya kunde, mwili size medium,
Elimu - post graduate,Kazi-mwajiriwa
Kimaisha ninajitegemea na najipenda kama mwanamke
Sijaolewa,sijazaa, sina HIV,

Nahitaji sana mtoto wa jinsia yoyote na Baba mtoto ambaye naye anahitaji pia mtoto na ana hiari tulee wote kijana/binti yetu,

Ninachopenda
ME, umri zaidi ya miaka 40 tu,
Uwe single/married/divorced its okay..tutazungumza
Mwonekano uwe Mrefu, mweupe(mweusi hapana), uwe msafi/unajipenda na unajiweza kimaisha,Kielimu minimum ni degree, usiwe na HIV,

Ndoa kwa sasa hapana, kipaumbele ni mtoto bila masharti ya jinsia ya mtoto,
Upatikane Mikoa ya Dar,Moro au Dom only

Zingatia sifa zote nnazotaka na ukiridhia za kwangu karibu tuongee mengine via email
theroyalteawithjam@gmail.com
Sasa mbona kigezo cha umri umeweka mkubwa, utakosa wateja
 
Dah! Wanawake haumueleweki, hatujui mnataka nini.
Huko mitandaoni si mnatangaza mnapenda wanaume warefu weusi? Wewe imekuaje mama?
 
Habari zenu jmn..

Natafuta mwanaume wa kuzaa nae&kulea wote kwa hiari

Mi ni KE, miaka 31,
mrefu 1.67m,maji ya kunde, mwili size medium,
Elimu - post graduate,Kazi-mwajiriwa
Kimaisha ninajitegemea na najipenda kama mwanamke
Sijaolewa,sijazaa, sina HIV,

Nahitaji sana mtoto wa jinsia yoyote na Baba mtoto ambaye naye anahitaji pia mtoto na ana hiari tulee wote kijana/binti yetu,

Ninachopenda
ME, umri zaidi ya miaka 40 tu,
Uwe single/married/divorced its okay..tutazungumza
Mwonekano uwe Mrefu, mweupe(mweusi hapana), uwe msafi/unajipenda na unajiweza kimaisha,Kielimu minimum ni degree, usiwe na HIV,

Ndoa kwa sasa hapana, kipaumbele ni mtoto bila masharti ya jinsia ya mtoto,
Upatikane Mikoa ya Dar,Moro au Dom only

Zingatia sifa zote nnazotaka na ukiridhia za kwangu karibu tuongee mengine via email
theroyalteawithjam@gmail.com
Kama umeshapata toa update ili ijulikane na kuwatia moyo wengine ambao wanatafuta wanaume
 
Back
Top Bottom